KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,318
Kwenye "nembe" sijaelewa!! au kikiwa kikubwa ndo kinaitwa ivo?!!
hahah naona unatikisa kiberiti wacha aje sasa kieleweke
Mkuu tuchangamkei fursa hizo.... Wakija tunaweza kupata ajira hata kwa kuwatembeza katika vivutio vya Rock City kama Kisiwa cha Saanane, Makumbusho ya Bujora n.k.
Tuchangamke jamani.... Elizabeth Dominic, Evelyn Salt, ram, TrueLove, ThinkPad, Rock City, Home First, Gedeli fursa hizoooooo jamani!!!
Nitakupitia pale maeneo, jumapili decemcer 8 saa kumi jioni tutete kidogo....
hahahahahaaha mama watoto ushaanza uchokozi sasa,
Mambo waifu? nipo kule nakomboa nchi
samahani kaka........unaweza ukashika adabu yako...........?
Ulemchakato wa kuwapeleka Serengeti tuufanyie kazi mapema ila tufanye kama suprise hawatakiwi wajue. cc to MK & JF - RW
Kwenye "nembe" sijaelewa!! au kikiwa kikubwa ndo kinaitwa ivo?!!
Mheshimiwa si tutakwenda wote Mwanza?Mambo waifu? nipo kule nakomboa nchi
He he he haa! wewe si umesema unkuja Tanga karibuni, tunakuadalia makao, karibu sana!Naelewa hus ila tupia macho kidogo home maana kuna watu hataree hasa kule Tanga Wing.
Hivi huko Nyamalango kuna nini wewe?? Kila siku upo huko, njoo town bana!
Namalango zipo hostel nyingi sana.
Haahaaaa.... Atakuwa na kidate huko make kakomaa kweli kila dakika Nyamalango! Teh teh teh... BEN 10 hajambo? Keshamaliza chuo¿¿¿¿