JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

Basi ngoja mimi niombe:
جنفدسبدجفطفھس فدبجقنطن
طدقجندساسبدبجسطسطنجفجدبسجنطسد
طفجفجشاسبسجسجنجہمتطفجدنطنجکج
فسجدنسفنطندطسطسطسطسطسطسجسط
طنجسطسسطسسجسدفطسجسجسطففددنن. ع. Amen

.....Amina!!
 
Uwiiiiii, khaa! umejifunza lini mbona kwenye silabas hakuna.
Haya basi, kwa faida yako binafsi Lily Flower ngoja nisali tena kivyengine:
Uje Roho Mtakatifu, Uzienee nyoyo za waumini wako,Peleka Roho Yako Na Nchi Zitageuka.
Tuombe:
...Tunakuomba utuongoze na ile roho, tutende yaliyo mema, tupate daima faraja zako, tunaomba hayo kwa njia ya Kristo Bwana wetu...
Wote semeni Amina.
 
Last edited by a moderator:

Amina!
 
A m i n a ! ! !
 
Last edited by a moderator:
Hope hii itakua ya kusimuliwa yaani nimehamia tu nakutanishwa na maburudani lol!

Nishajaza form ya likizo hahahah! km boss alijua kaipitisha bila pingamizi ndani ya Rock city hahahah!

Cc baba baba Mtambuzi unavojidaigi kulinda safari hii itakual kwako lol!
Usione niko kimya ukadhani mie ni mjinga...
Utashangaa maana safari haitakuwepo na utabaki home ukimsaidia mama Ngina lazi za nyumbani
 
Haya basi, kwa faida yako binafsi Lily Flower ngoja nisali tena kivyengine:
Uje Roho Mtakatifu, Uzienee nyoyo za waumini wako,Peleka Roho Yako Na Nchi Zitageuka.
Tuombe:
...Tunakuomba utuongoze na ile roho, tutende yaliyo mema, tupate daima faraja zako, tunaomba hayo kwa njia ya Kristo Bwana wetu...
Wote semeni Amina.

:amen: Ndio tafsiri ya hapo juu
 
Usione niko kimya ukadhani mie ni mjinga...
Utashangaa maana safari haitakuwepo na utabaki home ukimsaidia mama Ngina lazi za nyumbani
Safari hii mtu mzima maji ya shingo!
Kwa kauli moja tunasema Cantalisia ataenda Rock City, na si baba, mama, mtoto, mjukuu au MPENZI-WA-ZAMANI, atakayeweza kumzuia!
 
Last edited by a moderator:
Halafu nilikuwa nakushangaa umeisusa hii thread wakati ina mautamu kama ya pale Milestone-Sakina!

Mwambie Mtambuzi kuwa salama yake ni kuwepo Rock-City tu...zaidi ya hapo achore maumivu!

Niambie, uko sawa lakini weye?

Hahaha!nilitingwa tu kiongozi wangu PakaJimmy nikajikuta hata sijaingia humu,
For sure niko mzima kbs na tayari nishapata uhakika wa safari ya rock city.
 
Last edited by a moderator:
Basi ngoja mimi niombe:
جنفدسبدجفطفھس فدبجقنطن
طدقجندساسبدبجسطسطنجفجدبسجنطسد
طفجفجشاسبسجسجنجہمتطفجدنطنجکج
فسجدنسفنطندطسطسطسطسطسطسجسط
طنجسطسسطسسجسدفطسجسجسطففددنن. ع. Amen

Amen lol!hope hata kwa lugha hii mungu ataelewa tu na kutupatia ulinzi wake!
 
Usione niko kimya ukadhani mie ni mjinga...
Utashangaa maana safari haitakuwepo na utabaki home ukimsaidia mama Ngina lazi za nyumbani

Aiiiii!unajua baba tar 28/12 ndio kipaimara ya yule mdogo wetu mtoto wa anti wa ukewere na kule vivuko ni shida so inabidi tuanze safari mapema tar 27/12 ili 28/12 tuwe kule kesho yake Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Aiiiii!unajua baba tar 28/12 ndio kipaimara ya yule mdogo wetu mtoto wa anti wa ukewere na kule vivuko ni shida so inabidi tuanze safari mapema tar 27/12 ili 28/12 tuwe kule kesho yake Mtambuzi
Cantalisia, si ndio kile Kipaimara ulichotuambiaga eeh,
Basi kwa vile sisi wana Wing hatuwezi kukutenga tumeamua tutawasindikiza huko Ukerewe ili kuonyesha Mshikamano!

Mtambuzi mbona unaonyesha kama vile umesahau shughuli ya mtoto wakati ulishamtaarifu Canta, naye akatuomba Wing tumsindikize?

Usijitoe ufahamu bana, Safari ya Kanda ya ziwa ipo palepale!
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi fika ki pande kile cha nchi .
I'm soooo looking forward . Tunaenda na daladala
Au Mtei lol -🙂
Waaoh,
afrodenzi,
So gud to hear from you. Tutafurahi sana kuwa pamoja na kutokana na mipango tuliyoiweka tunaamini kila mtu atafurahia sana outing hii.

Get on board with ya flight-bag, and too bad its a VFR.

Nice preps my fellow Air-Man/Lady.
 
Last edited by a moderator:
Waaoh,
afrodenzi,
So gud to hear from you. Tutafurahi sana kuwa pamoja na kutokana na mipango tuliyoiweka tunaamini kila mtu atafurahia sana outing hii.

Get on board with ya flight-bag, and too bad its a VFR.

Nice preps my fellow Air-Man/Lady.

Hapana bora IFR, hii VFR imewacost wengi, unakumbuka yebo yebo? usimdanganye afrodenzi
 
Last edited by a moderator:
Cantalisia, si ndio kile Kipaimara ulichotuambiaga eeh,
Basi kwa vile sisi wana Wing hatuwezi kukutenga tumeamua tutawasindikiza huko Ukerewe ili kuonyesha Mshikamano!

Mtambuzi mbona unaonyesha kama vile umesahau shughuli ya mtoto wakati ulishamtaarifu Canta, naye akatuomba Wing tumsindikize?

Usijitoe ufahamu bana, Safari ya Kanda ya ziwa ipo palepale!

Kwani ninyi mtaondoka lini hapo chuga?
nataka niwapitie watu watano na ka-private jet!
 
Daah..nawatamaniiiiiiiii, hivi Dar waliwakimbia eeh..too bad sikujua..mie ningewapokea Preta, Pakajimmy,mzee wa rula..na wengineo..hakika nyie ni wakarimu bado sijawasahau
 
Back
Top Bottom