JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

Cantalisia, si ndio kile Kipaimara ulichotuambiaga eeh,
Basi kwa vile sisi wana Wing hatuwezi kukutenga tumeamua tutawasindikiza huko Ukerewe ili kuonyesha Mshikamano!

Mtambuzi mbona unaonyesha kama vile umesahau shughuli ya mtoto wakati ulishamtaarifu Canta, naye akatuomba Wing tumsindikize?

Usijitoe ufahamu bana, Safari ya Kanda ya ziwa ipo palepale!

Ndio kbs kiongozi wangu PakaJimmy nashukuru kwa ushirikiano wenu hope hapa baba yangu ataelewa lol!

Cc Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Daah..nawatamaniiiiiiiii, hivi Dar waliwakimbia eeh..too bad sikujua..mie ningewapokea Preta, Pakajimmy,mzee wa rula..na wengineo..hakika nyie ni wakarimu bado sijawasahau

carmel, usinambie hadi leo unatukumbuka!...mbona miaka zaidi ya 2 imepita tokea tulipoonana mara ya mwisho pale Soweto gardern?
Anyway, tunakumiss sana sana. Majuzi tulikuandikia barua ya pamoja ya salamu, lakini tukasahau S.L.P. yako uliyotuachia.
Naamini kwa majaliwa tutaonana tena.
 
Last edited by a moderator:
Hapana bora IFR, hii VFR imewacost wengi, unakumbuka yebo yebo? usimdanganye afrodenzi
We Lily Flower, VFR ni nzuri zaidi bana, ili mradi kama ma Kilo-bravo na maKilo-Oscar yako pouwa.
Ile yeboyebo ilinaniliu kwa sababu yule naniliu alinaniliu sana, na akachanganya Red Label, Grants na Konyagi pamoja. Sasa kwa cocktail hiyo lazima upate Brain-Concussion na kuzimika.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom