Nakukumbusha tu kuwa hata uwe mwema sana kuliko huyo unaemtukana kwenye hii comment yako,ardhini utaingizwa tu maana huko hapachagui, kwahiyo me sioni kama kifo kinaweza kutumika kama sababu ya wewe kujifariji.

Hapo ulipo huenda utakufa leo usiku wakati umelala,yes utakufa leo mkuu.

La msingi ni kutafuta pesa Ili kesho ikifika walau usizikwe kama mbwa, uzikwe kwa heshima kama huyo unaemtaja hapo.
Usitishe watu wewe.amekufa amekufa tuu alifikiri atatawala milele asife??Mungu ametusaidia Sana.ngoja tupumue tutafute hela unazosema
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Nakukumbusha tu kuwa hata uwe mwema sana kuliko huyo unaemtukana kwenye hii comment yako,ardhini utaingizwa tu maana huko hapachagui, kwahiyo me sioni kama kifo kinaweza kutumika kama sababu ya wewe kujifariji.

Hapo ulipo huenda utakufa leo usiku wakati umelala,yes utakufa leo mkuu.

La msingi ni kutafuta pesa Ili kesho ikifika walau usizikwe kama mbwa, uzikwe kwa heshima kama huyo unaemtaja hapo.
Kuzikwa ni kuzikwa, don't be dramatic na usichukulie kitu personal pale mtu anapo express ya kwenye mtima wake.
Jamaa alikuwa sadist na kila aliyedhurika kwa ukatili wake ana haki ya kufunguka anavyojisikia kuhusu katili yule mwendakuzimu, mimi kutoa maoni yangu isikutoe nje ya mada. Don't take it personal.
Kuzikwa kwake kunamsadia nini uko aliko, kuna aliojaribu kuwaua japo amewaachia majeraha lakini bado wako hai.
Msimamo wangu ni ule ule, aendelee kuoza huko aliko na kama kuna moto basi aungue na azidi kuungua kama malipizi ya madhila aliyosababishia kwa makusudi watu waliokuwa na itikadi tofauti na za kwake.
#aendelee kuteketea.
 
Utaweza kuupigania uhai wako ili usife kabisa...?
unajenga chuki hata Mahali pasipojengwa..! Acha chuki za kijinga wewe, Heshimu kazi ya Mungu, Mungu huwatwaa waovu na wema, lakini pia Mungu ni wa wote, wema na wabaya, ili mradi tu wana mwili!!

Unajenga chuki kwa waliokufa???
Wewe hutakufa...!?
 
Come out of your fantasy world.
Umezaliwa leo? Cheap &, childish question.
nipe uthibitisho mkuu

huoni kuwa ww ndio unaishi kwenye fantasy kwa kuamini usiyoyaona katika kile kilichojijenga akilini kwako
 
Utaweza kuupigania uhai wako ili usife kabisa...?
unajenga chuki hata Mahali pasipojengwa..! Acha chuki za kijinga wewe, Heshimu kazi ya Mungu, Mungu huwatwaa waovu na wema, lakini pia Mungu ni wa wote, wema na wabaya, ili mradi tu wana mwili!!

Unajenga chuki kwa waliokufa???
Wewe hutakufa...!?
Tusiwe wanafiki kisa mtu amekufa na wapi nimesema sitakufa, usinilishe maneno.
Issue ni lile uaji huko linakooza liendelee kuoza na kuliwa na funza, unavuna ulichopanda hivyo madhila aliyosababishia watu na kujiona mungu mtu acha tuendelee kumsiliba kwa maneno.
Wewe unaumia maneno tu, fikiria ndugu wa waliouawa wanaumia vipi mpaka muda huu, fikiria walioachwa na majeraha au walioachwa na ulemavu nao si binadamu.
Unalifikiria katili linalooza lakini haufikirii madhila aliyosababishia watu simply tu kwa kutofautiana naye kiitikadi, hypocrisy at it's highest level.
 
nipe uthibitisho mkuu

huoni kuwa ww ndio unaishi kwenye fantasy kwa kuamini usiyoyaona katika kile kilichojijenga akilini kwako
Si kazi yangu, you can't drag me to your stupid levels.
I call spade a spade, if it touches you that's not my fault.
 
1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
9 barabara ya mwenge,
10 SGR project
11 Soko la kingaru moro
12 Barabara ya makongolo Mza.
13 Hospitali ya kanda Mtwara
Kwa ufupi kulikuwa na shughuri karibu kila kijiji kwa nini Chato isiwemo.fitina haijengi hata kama unalipwa.
 
Tusiwe wanafiki kisa mtu amekufa na wapi nimesema sitakufa, usinilishe maneno.
Issue ni lile uaji huko linakooza liendelee kuoza na kuliwa na funza, unavuna ulichopanda hivyo madhila aliyosababishia watu na kujiona mungu mtu acha tuendelee kumsiliba kwa maneno.
Wewe unaumia maneno tu, fikiria ndugu wa waliouawa wanaumia vipi mpaka muda huu, fikiria walioachwa na majeraha au walioachwa na ulemavu nao si binadamu.
Unalifikiria katili linalooza lakini haufikirii madhila aliyosababishia watu simply tu kwa kutofautiana naye kiitikadi, hypocrisy at it's highest level.
Qwy, hivi David Mwangosi aliuawa ktk utawala wa nani? Kutawala bila mauwaji ni ngumu sana na huwezi fanikisha lolote.
 
Tusiwe wanafiki kisa mtu amekufa na wapi nimesema sitakufa, usinilishe maneno.
Issue ni lile uaji huko linakooza liendelee kuoza na kuliwa na funza, unavuna ulichopanda hivyo madhila aliyosababishia watu na kujiona mungu mtu acha tuendelee kumsiliba kwa maneno.
Wewe unaumia maneno tu, fikiria ndugu wa waliouawa wanaumia vipi mpaka muda huu, fikiria walioachwa na majeraha au walioachwa na ulemavu nao si binadamu.
Unalifikiria katili linalooza lakini haufikirii madhila aliyosababishia watu simply tu kwa kutofautiana naye kiitikadi, hypocrisy at it's highest level.
Unamaneno ya makufuru ambayo hata wewe yanakuhusu, na pengine unaona ni kama hayakuhusu kwa sababu ya kiburi cha uzima ulonao hapo siyo?

Kuoza..! Utakwepa kuoza wewe kiumbe dhaifu?

Istoshe, Kwa nini usimwachie Mungu mhukumu wa haki kuhusu waliouwawa kwa mkono wake, kwa sababu mimi ninahakika, hauwezi hata kuandika jina moja la mtu aliyeuawawa kwa mkono wake, ispokuwa ni mhemko tu unaokusumbua

Heshimu kazi ya Mungu na uiogope kazi yake, lakini pia wewe sio mnyama ukose akili na hofu moyoni,
 
Daraja la Busisi
Mv Victoria, vivuko na meli mpya kibao
Hospital mpya za wilaya na rufaa za kanda
Kukomesha mgao wa umeme
Bwawa la Stigla
SGR
Kununua ndege 11
Barabara za lami
Cathlab hospital ya Jakaya
Uzalendo
Miradi ya maji
Umeme vijijini
Kuzuia ujangiri wa tembo nk
Kudhibiti madawa ya kulevya
Kutocheka na kima na watikisa viberiti
 
huyu mama angeacha mabaya ya magufuli alafu akatembea na gia ya magu wallah angekua rais ambae ni bora kuwahi kua nae tangia tanzania ijiongoze
 
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...

PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
1. He sacrificed his own life for the people of the nation's survival.

2. He opposed the timing to instigate operative of the 'New World Order-NWO' while his own people would be suppressed by food shortage, health deterioration, financial depression to state, corporate firms, and individuals.

3. He consistently and effectively manned on political unrest at stringent counter-measures

5. He took the risk of transferring the head of state to Dodoma in wholesome and ensure every subordinate complied with the movement

6. Tax & Revenue collection that contributed to the national economic growth being able to financially fund the mega projects such as the Mwalimu Nyerere hydropower generation dam in Rufiji, construction of SGR infrastructure from Dar -Moro-Dom-Mza-Isaka, buying 11 aeroplane, construction of health centres to each ward across the country and regional hospitals,

7. Flexing muscles to the giant nations refraining to comply with the implementation of several guidances that do not consider the local environmental cultures of the country as a sovereign state;

8. Consistent and effective reform to the mines sector

9. Creating self-confidence to the ordinary citizens to challenges their leaders at ground roots up to the national level

10. Fighting grafts practices, corrupt people, illicit drugs trafficking, and consumption

11. Instilling discipline in the government and public servants

12. Accepting Israel to open its embassy in Tanzania after almost 6 decades past since independence

13. Construction of vast outstretch of tarmac roads linking each region in Tanzania

etc...to mention just a few commendable works proud of the nation.
 
Kunyonga demekrasia .kutesa wapinzani kunynganya hela za watu kunynganya rambirambi za tetemeko.kutopandisha mishahara kuwafukuza wafanyakazi bila kosa kuwaweka maaskofu ndani kujifanya anampenda mungu kumbe sio.kutudanganya uchumi umekua kumbe sio nk nk nk.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Similar Discussions

Back
Top Bottom