Ama kweli majuto ni mjukuu, kama tungejua mapambano yako yangetufikisha hapa basi tungepinga harakati zako zote. Tungekubali kukaa katika maisha yale lakini siyo haya uliyotuachia.

Mungu akurehemu Rais wa kweli uliyewahi kutokea Tanzania. Tutaonana baadae.
Arudishe rambirambi na matrilion ya hazina aliyoiba. Sasa hivi anachezea vitasa vya hatarii huko kuzimu.

Onana naye kivyako huko!
 
Mwacheni Mwendazake apumzike mkimleta huku atashambuliwa tu na ana haki ya kushambuliwa.
 
Mungu akurehemu Rais wa kweli uliyewahi kutokea Tanzania. Tutaonana baadae.
Wewe na yeye,... Sabaya , Sylvia Mamkwe (Mganga Mkuu wa Temeke)Popote alipo, woote Manzi ga Nyanza! mnastahili Moto wa milele! alimteka tajiri wetu, akaua hovyo, kina anzoli gwanda familia yake inataabika mpaka leo!

Mkitaka amani mfuahi kuwa ikulu na familia zenu! fanyeni haya, muwawekee wajane wa hawa watu nyumba nzuri!! kifupi muwakumbuke!! Familia za hawa watu zitunzwe vyema na serikali itakayo kuwa madarakani ...

isomeshe watoto wote wa hawa wa walio athiriwa na serikali, yaani waende mpaka chuo kikuu bureeeee! mtanawa!! dhambi hii kwa kufanya ivi!! lkn bila hivo ni kiama tupu! siku moja mtapigwa mawe hadaharani km Samwel Doe!

Igeni waungwana wa USA, wao wote waliopotelewa Maubalozini kwao ajili ya Mabomu ya Osama! wanalipwa mpaka kesho Duniani kote wale wanajua bila wao USA wale watu wasingeumia!

kwa kauli hii nasema zibeni masikio CCM mteketee Kwa aibu! mpotee! km alivo potea jiwe na kundi lake la kina Makonda! hakika hamta nyanyuka tena! CCM ikifanya ninayo yasema hapa itadumu milele! hii ndo dawa!
 
Lala kwa amani,
Tumempata Rais,mchamungu,anatupenda watanzania,anaendeleza kazi zako,na nyingine nyingi mpya amezianzisha,TUNAFURA TELE KWA SASA,
 
kwan ulimwona huko dogo?
Yaani mkubwa mbona! sisi huko mbona tunaenda na kurudi! tu! hakuna siri tena siku izi! hata wewe ukitaka leta details tu, ni rahisi mnooo! ila usiwe ki-roporopo! km ukiwa!... dawa yake ni kuto rudi Duniani tena! ma-Lango makuu kwa tanzania yako manne ila ntakwambia kwa kifupi sana
Kigoma
Lindi..
lingine liko DSM hapo! yaliyo baki ni siri labda ujisajili!
 
MIEZI 7 BILA JPM:
# Nukuu zinazoishi..

Hizi ni baadhi ya nukuu za Rais Magufuli:

-Kwa Mtanzania yeyote mwenye akili timamu anaposikia ripoti kama hii lazima apate uchungu
-Nafahamu wapo watu walitaka kuhatarisha maisha yenu, lakini walishindwa kwa sababu ya ulinzi imara
-Tanzania tuna karibu madini yote, unaweza ukayataja mpaka ukasahau
-Watanzania tuna mali nyingi lakini tunazichezea mpaka shetani anatucheka huko aliko
-Tanzania siyo siri wapo watu wanakufa kwa kukosa madawa, wapo wakulima wanakosa hata pembejeo wakati mali tunazo
-Inashangaza sana kampuni ya madini inafanyakazi nchini kunyume na sheria tena biashara ya matrilioni ya fedha
-Ukiwa na mchungaji wako anasema ng’ombe wanatoa lita 1 tu kwa siku ukienda kuhakikisha kama ni ukweli, ni vibaya?
-Sisi viongozi tujiulize ni mara ngapi tunawadhalilisha wafanyabiashara wadogo wa Kitanzania wakiwa hawajasajiliwa?
-Nani atakae pewa ripoti kama hii akacelebrate? Wakati watoto wa maskini wanakufa
-Siwezi kusimama pale mbele halafu naona haya yanafanyika nikae kimya, siwezi, nitaulizwa siku moja na Mungu wangu
-Kuna mpiga kelele mmoja, tuli trac simu yake tukaona anatuma meseji anasema naomba data hii, naomba data hii
-Hizi fedha zikienda hospitalini hawatatibiwa CCM tu hata CHADEMA watatibiwa
-Kwenye ripoti ya kwanza, Kafumu amehangaika kutafuta data ili afanye mabadiliko ni ujinga mtupu
-Dkt. Kafumu alienda kumbembeleza Prof. Mruma ili afanye forgery ya Ripoti ya Kamati ya Kwanza
-Mapendekezo yote yaliyotolewa na Kamati hii nayapokea na nimeyakubali kwa asilimia 100
-Kuna Dkt mwingine wa Muhimbili tulimkamata Dodoma anataka kuishawishi kamati ibadili ripoti, tukamrudisha akatibu
-Ukiwa msoma sio unakuwa mzalendo, unaweza ukasoma ukawa hata Profesa lakini usiwe mzalendo
-Hii kampuni inayoitwa Acacia waitwe kwanza walipe pesa zetu,Wakikubali na kutubu ndipo wafanyiwe registration
-Wahusika wote waliotajwa kwenye ripoti hii vyombo vya dola viwahoji na kubaini ukweli juu ya jambo hili
-Kazi hii ni ngumu, ni ngumu kweli kweli, lakini kama Mungu amenipa kuifanya i will do it
-Sawa sisi viongozi hawaturuhusu kuingia migodini, hata viongozi wa dini basi waruhusiwe kwenda kuombea hayo madini
-Naomba Sheria ya gesi ipitiwe, hata tukichelewa ni sawa lakini tuwe na sheria nzuri
-Hii nchi tumelogwa na nani? Basi viongozi wa dini tuombeeni mapepo yatoke
-Mtu unakuta ni Mbunge na Jimbo lake ni masikini lakini anakuja kutetea huu ujinga
-Spika nikakuletea hii mizigo, kwa wale watakaokuwa wanaropoka unaenda vizuri, ili wakiropoka nje mimi ntadili nao
-Spika, kwa wale watakaokuwa wanaropoka ropoka, watoe nje. Na wakiropokea nje i will deal with them, Ila siwatishi
-Prof. Oroso umetimiza wajibu wako hapa duniani, Mungu atakubariki sana.
 
Yaani mkubwa mbona! sisi huko mbona tunaenda na kurudi! tu! hakuna siri tena siku izi! hata wewe ukitaka leta details tu, ni rahisi mnooo! ila usiwe ki-roporopo! km ukiwa!... dawa yake ni kuto rudi Duniani tena! ma-Lango makuu kwa tanzania yako manne ila ntakwambia kwa kifupi sana
Kigoma
Lindi..
lingine liko DSM hapo! yaliyo baki ni siri labda ujisajili!

Jana ulilewa sana, ebu funguka vizuri saaahv sasa akili imeshakurudi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom