Upo mwingine pia wa kizalendo, sikumbuki 'title' yake.Je kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi nzuri, uwe wimbo wa taifa letu?
AHAAAA: Tanzania, Tanzania, Nakupenda kwa moyo wote---
Watunzi wa nyimbo hizi wanastahili tuzo na heshima ndani ya nchi yetu.
Anayejuwa watunzi na historia ya nyimbo hizi, tafadhali simulia.