Je, kulikuwa na ulazima gani Tanzania kuchukua wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wimbo wa Taifa? Kwanini tusingetunga wa kwetu?

Kawaida, maana hata binadamu wanaoishi Tanzania ki asili siyo waTanzania...
 
Afrika Kusini imepata uhuru kabla hata ya sisi. Kilichokuwa kinapiganiwa na kilichofanikishwa 1994 ni kuondoa ubaguzi wa rangi, apartheid na kuwa na majority rule democracy.
Mkuu, lakini Rais alikuwa mkaburu,hii imekaaje kusema walikuwa huru ?
 
Bro, South Africa imepata uhuru mwaka 1994 kutoka kwa kaburu. Sisi Tanganyika tumepata uhuru 1961 na muungano 1964. Sasa sijui hapo unahitaji taarifa gani zaidi kujua nani kamuiga nani?!

1994 sio mwaka wa uhuru wa taifa lao.
 
Wa TZ wengi wetu ni vichwa vitupu. Cha kwanza ambacho tunashindwa kufahmu ni kuwa S A hawakupata uhuru 1994 kama tunavyojaribu kuamini, SA ilipata uhuru mwanzo kabla hata ya sisi, 1994 ndipo chama cha ANC ambacho kilikua cha cha upinzani kilipoingia madarakani baada ya kufanyika uchaguzi uliokua huru.

Nahuo wimbo wa TZ tuliuiga tu, huo wimbo ulikuepo toka mwishoni mwa 1800's huko South ukitumiwa na ANC toka 1912.
 
Nipe tafsiri ya UHURU.

Narudia tena, Afrika kusini wamepata uhuru Kutoka WAKOLONI 1994.
Mkuu mambo hayendi kwa mujibu unavyotaka wewe mambo yanakwenda kwa mujibu wa taratibu za kiulimwengu zilivyo, Wakaburu wa South ni wa south na sio wakoloni, na ndio mana mpaka leo wanaendelea kuwa raia wa SA.
 
Mkuu mambo hayendi kwa mujibu unavyotaka wewe mambo yanakwenda kwa mujibu wa taratibu za kiulimwengu zilivyo, Wakaburu wa South ni wa south na sio wakoloni, na ndio mana mpaka leo wanaendelea kuwa raia wa SA.
Wale ni WAKOLONI. Full stop, wametambuliwa rasmi kuwa pale baada ya uhuru 1994.
 
Back
Top Bottom