Je, Hoyce Temu kamponza Diwani Athumani?

Je, Hoyce Temu kamponza Diwani Athumani?

Analihitaji hizo reservations za Hoyce? Mtu kama aliwahi kuteua katibu mwenez CCM Wilaya akawe DG tena TPDC mpaka watu wakapiga kelele ndo akaja kutengua utashangaa ya Hoyce? Rais tulienae unatakiwa umjue wa aina gani! Huyu ashughulishi ubongo wake, huyu ni wale wa vimemo tu anateua! Hayo yakutaka mpaka amjue huyu ni wa wapi alipita wapi aliyaweza Magufuli pekeake hawa wengine.
Huyo aliyetuteulia kina kangi lugola na makonda??
 
Mkuu mshana taifa letu lina siri gani ya kutunza? Kwani tuna Biochemical laboratories? Nuclear files etc. Tusiwaonee kina Diwan na Hoyce. Nampenda sana Diwani ni mtu wa ibada sana.

Mr Q
Ibada inasaidia nini kama chaguzi zinavurugwa yeye yupo,watu wanapoteza maisha na watu wasiojulikana?
 
Hoja yako ni mfu na haina maana kabisa, kama ingekuwa hivyo hata huyu aliyepewa angeondolewa maana alikuwa Naibu DGIS, pia Diwani hajapata demotion amepanda juu, anakuwa chief of Staffs sio cheo kidogo kama unavyodhania.

Balozi zetu zote ziko na 80% ya watu wa TISS, JWTZ na POLISI.
Sio rahisi hivyo, na hakuna mtu ameuza siri za nchi kwa maadui kama inavyoaminishwa, na nikwambie kama hujui kitu tulia na uache kukurupuka.

Nchi yetu top secret hawezi pewa BALOZI. Top secret zetu access yake sio rahisi kama inavyodhania ww, TISS sio kwamba wao ndio wana kila taarifa, always agency zingine zinafanya kazi kukeep hizo secret, na wakati mwingine DGIS anakosa taarifa muhimu na watabe wanamfikishia RAIS direct.

Suala la Usalama wa nchi yetu achana nalo, wewe ni mtoto sana, usijidanganye na influence za hapa jukwaani Dogo.
Ha ha haaaa...hata secreat za CIA, KGB au hata MI5 zinauzika tena na inner people (refer Snowden)sembuse hao chawa wa mama wenye njaa?

Acha kuikuza TISS ivo while Kagame tu anawatoa kamasi!
 
hadi hapa nimesoma michango yoote sioni connection
IMG-20230105-WA0026.jpg
 
Tatizo sasa ni kwamba kilichoandikwa kwenye document hakihuisani na ajira yake ya sasa; na ni taarifa za kuanzia zamani mno. Hii case kama ilikuwepo, mama lazima angeijua mapema na asingemteua.

After all, hivi chombo kikubwa kama UNDP kinaweza kuweka taarifa kama hizi PUBLIC, au kuziachia zikakaangukia kwenye mikono baki? This document is forged na possibly mteule hana tuhuma zozote
Duh,kama kuna document zozote za Hoyce zimevuja ni kile kigagula cha US kinahusika.
Maana kiliwai kumsakama sana hapo nyuma Hoyce alipokua na jamaa mmoja UNDP.
 
Maafisa waandamizi halafu wadogo tu!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeh wadogo kiumri, au wewe umeelewa kicheo mkuu?? Afisa mwandamizi mwenye miaka 36,37 mpaka 40 kwako ww unamuona ni mkubwa kiumri??
 
Vipi kuhusu swala la ajali ya ndege kule Bukoba; wewe unaona lilikuwa ni tukio la kawaida sana?

After all, Hoyce hajafanya kitu chochote kwenye post aliyoteuliwa na Rais, labda tu Kiingereza cha Wanasheria ni kigumu watu hawajaelewa kilichoandikwa kwenye document inayosambaa mitandaani

Chances ni kwamba Hoyce anachafuliwa tu humu kwenye mitandao kwa sababu tuhuma zinazoongelewa kwenye document hazihusiani na kazi anayofanya sasa, ni za nyuma. Na kama tuhuma hizo zingekuwa ni za kweli, basi chances ni kwamba mama asingemteua Hoyce kwa sababu zinaonyesha kuwa ni za nyuma kabla ya uteuzi wake, zingine zina adte back to as far as 2018!

Hoyce anaweza kuwa anchafuliwa tu!

T14 Armata


Na kweli Kuna kuchafuliwa Manake mpira ulianza kwa Recho kuwa wanted(wanasema sijui na mtu mzito)

Mara ghafla zengwe limehamia kwa Hoyce
 
Nimeisoma hukumu hiyo neno kwa neno. Moja ya tuhuma za mwanzo kabisa walizozisema ni kutoa mawasiliano ya ndani ya UN kwa maofisa wa serikali. Ingawa hiyo tuhuma haikuongelewa tena katika document hiyo, inaonyesha ndiyo iliwapa sababu ya kumfuatilia zaidi na ndiyo wakakuta hayo mambo ya kuinufaisha kampuni yake binafsi na kumuunganisha dada yake na dili la UN.

Mambo ya likizo ya uzazi yamekuja baadae wakati tuhuma na uchunguzi ukiwa umekamilikana yeye akataka likizo ndefu ya matibabu wakati ameshafukuzwa!

Kiufupi uteuzi wake haukuwa wa busara na haukuzingatia maslahi mapana ya nchi.
UN hawawezi kuweka kwenye mtandao information za organisation ambazo ni internal. The document is a hoax. Hizi taarifa ni za tangu mwaka 2018 na hivyo kama zingekuwa za kweli, uteuzi wa Hoyce usingefanyika. Document ni forged
 
acha wivu

wa kike:
Unasema hana uzoefu? Polepole[chakubanga ] alipoteuliwa ubalozi alikuwa na uzoefu gani?
HOYCE TEMU alikuwa anafanya kazi UNDP TANZANIA na mkuu kwa hapa Tanzania, yaani kishazoea kukojoa huko angani kwenye ndege kila wiki mara mbili.
Dinawani wala usiwaze, ingia upareni kalime tangawizi,avae , cheedi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom