Je, Hoyce Temu kamponza Diwani Athumani?

Je, Hoyce Temu kamponza Diwani Athumani?

Analihitaji hizo reservations za Hoyce? Mtu kama aliwahi kuteua katibu mwenez CCM Wilaya akawe DG tena TPDC mpaka watu wakapiga kelele ndo akaja kutengua utashangaa ya Hoyce? Rais tulienae unatakiwa umjue wa aina gani! Huyu ashughulishi ubongo wake, huyu ni wale wa vimemo tu anateua! Hayo yakutaka mpaka amjue huyu ni wa wapi alipita wapi aliyaweza Magufuli pekeake hawa wengine.
Mbona nae Magufuli alimteua Makonga?Acha kumsifu mtu kupitiliza
 
Mkuu mshana taifa letu lina siri gani ya kutunza? Kwani tuna Biochemical laboratories? Nuclear files etc. Tusiwaonee kina Diwan na Hoyce. Nampenda sana Diwani ni mtu wa ibada sana.

Mr Q
Watu wa aina yake huwa wanamisimamo sana ila kitendo cha kuruhusu UCHAGUZI WA 2020 kuibiwa namna ile sio yeye tu TISS yote sina imani nao.
 
Hoja yako ni mfu na haina maana kabisa, kama ingekuwa hivyo hata huyu aliyepewa angeondolewa maana alikuwa Naibu DGIS, pia Diwani hajapata demotion amepanda juu, anakuwa chief of Staffs sio cheo kidogo kama unavyodhania.

Balozi zetu zote ziko na 80% ya watu wa TISS, JWTZ na POLISI.
Sio rahisi hivyo, na hakuna mtu ameuza siri za nchi kwa maadui kama inavyoaminishwa, na nikwambie kama hujui kitu tulia na uache kukurupuka.

Nchi yetu top secret hawezi pewa BALOZI. Top secret zetu access yake sio rahisi kama inavyodhania ww, TISS sio kwamba wao ndio wana kila taarifa, always agency zingine zinafanya kazi kukeep hizo secret, na wakati mwingine DGIS anakosa taarifa muhimu na watabe wanamfikishia RAIS direct.

Suala la Usalama wa nchi yetu achana nalo, wewe ni mtoto sana, usijidanganye na influence za hapa jukwaani Dogo.
Suala la hoyce ni lake binafsi na muajiri wake wa zamani sasa unashangaa mtu anaandika eti alivujisha siri za nchi 😃 watu wanaandika tu
 
Suala la hoyce ni lake binafsi na muajiri wake wa zamani sasa unashangaa mtu anaandika eti alivujisha siri za nchi [emoji2] watu wanaandika tu
watu wanaandika tu! [emoji848] mada haizungumzii hukumu bali tuhuma!
 
Analihitaji hizo reservations za Hoyce? Mtu kama aliwahi kuteua katibu mwenez CCM Wilaya akawe DG tena TPDC mpaka watu wakapiga kelele ndo akaja kutengua utashangaa ya Hoyce? Rais tulienae unatakiwa umjue wa aina gani! Huyu ashughulishi ubongo wake, huyu ni wale wa vimemo tu anateua! Hayo yakutaka mpaka amjue huyu ni wa wapi alipita wapi aliyaweza Magufuli pekeake hawa wengine.
Sentence yako ya mwisho umeharibu na kujionyesha kumbe wew ni sukuma gang
 
Analihitaji hizo reservations za Hoyce? Mtu kama aliwahi kuteua katibu mwenez CCM Wilaya akawe DG tena TPDC mpaka watu wakapiga kelele ndo akaja kutengua utashangaa ya Hoyce? Rais tulienae unatakiwa umjue wa aina gani! Huyu ashughulishi ubongo wake, huyu ni wale wa vimemo tu anateua! Hayo yakutaka mpaka amjue huyu ni wa wapi alipita wapi aliyaweza Magufuli pekeake hawa wengine.
Hlf utasikia anasema halalagi nabak kushangaa halali anafanya nn sasa[emoji119]
 
Ndo haya eti Mwijaku kachukua fomu ya spika wa ubunge. yani hii nchi kuna idara serikalini kama tunachezea taifa
 
Ofisi za UN zipo katika miji ya New York City, Geneva, Nairobi, Vienna na The Hague.

Kuna ofisi za taasisi nyingi za UN Geneva. Ni kwa sababu hiyo nchi nyingi zina wawakilishi wao wa UN wanaofanyia kazi Geneva, tofauti na wale waliopo makao makuu ya UN New York City.
Hapa Geneva mbona mambo swari kabisa watu wanakula sikukuu .
 
Mkuu mshana taifa letu lina siri gani ya kutunza? Kwani tuna Biochemical laboratories? Nuclear files etc. Tusiwaonee kina Diwan na Hoyce. Nampenda sana Diwani ni mtu wa ibada sana.

Mr Q
Unamaanisha nchi hii haina siri? Ikiwa kwako/kwenu kuna siri iweje kwa serkali? Siri zipo jameni tusikaze kwa kila kitu
 
Ni pamoja na hilo limechangia kwanza alifi ka mahali akaanza kuwa na msimao wake yeye kama yeye ashauriki, naona mama baada ya kutonywa kinachoelendelea kwa huyo aliekuwa newyork mama kaamua kuwachomoa wote
Mtu pekee uloweza kuoanisha watajwa na habari vikaendana, wengine wanaruka past history za watajwa bila kuonesha uhusiano wa sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom