Je, Hoyce Temu kamponza Diwani Athumani?

Je, Hoyce Temu kamponza Diwani Athumani?

Well, issue za hoyce ni yeye na aliyekua muajiri wake UNDP, sidhani kama zina uhusiano na TISS.
May be tuseme baada ya kuwa rufaa yake huko kwa aliyekua muajiri wake imeshindikana tuseme atumbuliwe kwakua ameonekana hakufit ila has nothing to do na Diwan. Pia masuala ya Hoyce yamepita sio ya sasa hizo ni rulling za mambo yake kipindi cha nyuma...kwa tamaduni za wanasiasa wetu hiyo ngoma ni ndogo sana wanaweza funika kombe! Labda UN walete pressure kua huyu mtu aliwe kichwa! Wakuu Someni hukumu hiyo ya rufaa attached ili kuelewa issue zenyewe tofauti na mtandaoni watu wanavyoongea!
 
Attachments

Kuna reshuffle imefanyika kwenye idara ya usalama, kwa macho ya kawaida inaweza kuonekana hili ni la kawaida, lakini kumbadili DG wa usalama si jambo dogo hata kidogo! Seniors wengine wanaweza kubadilishwa muda wowote wakizingua lakini sio kwa DG

Tumeaunza mwaka na kashfa ya balozi wetu UN Geneva kutuhumiwa kuuza siri za nchi kwa 'maadui' ama kwa watu wenye nia ovu na nchi yetu.. Hili si jambo dogo na kwa baadhi ya nchi hilo ni kosa la uhaini na hakuna adhabu nyingine zaidi ya kitanzi

Idara ya usalama wa nchi ndio ina jukumu la kulinda mkoba/mikoba yote inayohusika na 'siri' za nchi! Anapitokea mtu hata kwa nafasi yake kubwa ya kiuongozi akafanikiwa kupenya, kudukua na kuondoka na kabrasha lolote lenye habari nyeti za taifa bila DG kupata taarifa ama kuchukua hatua, huyo ndiye mwajibikaji no 1...!

Hii kashfa ya Temu ikija kuthimbitika list ya watakaotumbuliwa ni ndefu ila kwasasa tubaki na hili la Mzee wetu Diwani aliyebadilishiwa majukumu na kama hili la Ms Temu ndio limesagia kunguni
hivi kumbe nao ni kama CAG kwamba akiteuliwa haondolewi mpaka astaafu!!!!
 
Inakuwaje mvujisha siri anabaki huku DG anang'olewa , sijaelewa mkuu
 
Analihitaji hizo reservations za Hoyce? Mtu kama aliwahi kuteua katibu mwenez CCM Wilaya akawe DG tena TPDC mpaka watu wakapiga kelele ndo akaja kutengua utashangaa ya Hoyce? Rais tulienae unatakiwa umjue wa aina gani! Huyu ashughulishi ubongo wake, huyu ni wale wa vimemo tu anateua! Hayo yakutaka mpaka amjue huyu ni wa wapi alipita wapi aliyaweza Magufuli pekeake hawa wengine.
Huyo uliyemtaja kuwaweka Ndugu zake Sukuma Gang nayo unaona ni sifa!?
 
Mi Bwana Mshana ningejua habar kamili ya kifo cha yule balozi Mushi ningeunganisha Dot. Ni kwasababu ya ubongolala wetu wa kutohoji mambo ya msingi ndio maana nchi imelemaa. By the Way kuna mengi mpaka ifike 2025 yatatokea maana Mama anajipanga na kambi yake huku walio nyuma ya kiranja mkuu nao wakiusoma mchezo.
 
Mama nyoosha mstari kwa rula kuna viongozi wengi wamo Serikalini.
Unachagua Mkuu wa Wilaya hujui historia yake nk. Nchi itayumba au isichim Ike kwenye mikono yako.
 
Nadhani umemkuza mno kuliko uhalisia. Issue zake ni binafsi na kama wengine walivyosema, ni kesi za nyuma kabla hata hajapelekwa Uswizi.

Swali linakuja kwa nini mtu ambaye hana uzoefu na diplomasia alipewa ubalozi tena sehemu nyeti huku wakijua ana makandokando tena huko huko ndani ya UN? Walikuwa wanataka kuachieve nini? Je hawakudhani hiyo ingeweza kuleta mazingira mabaya ya kazi kati ya ofisi ya ubalozi wetu na UN huko Uswizi?

Mfumo wetu wa kupata viongozi na watumishi wa umma ulivurugika toka zamani, huu tu ni mfano wa jinsi system ilivyooza. Tutamlaumu bure kwa kumteua ila jiulize na yeye amefika hapo kwa uwezo gani?
 
Ndo maana hoja imekuja kama swali
Hoja yako ni mfu na haina maana kabisa, kama ingekuwa hivyo hata huyu aliyepewa angeondolewa maana alikuwa Naibu DGIS, pia Diwani hajapata demotion amepanda juu, anakuwa chief of Staffs sio cheo kidogo kama unavyodhania.

Balozi zetu zote ziko na 80% ya watu wa TISS, JWTZ na POLISI.
Sio rahisi hivyo, na hakuna mtu ameuza siri za nchi kwa maadui kama inavyoaminishwa, na nikwambie kama hujui kitu tulia na uache kukurupuka.

Nchi yetu top secret hawezi pewa BALOZI. Top secret zetu access yake sio rahisi kama inavyodhania ww, TISS sio kwamba wao ndio wana kila taarifa, always agency zingine zinafanya kazi kukeep hizo secret, na wakati mwingine DGIS anakosa taarifa muhimu na watabe wanamfikishia RAIS direct.

Suala la Usalama wa nchi yetu achana nalo, wewe ni mtoto sana, usijidanganye na influence za hapa jukwaani Dogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom