Je, Hoyce Temu kamponza Diwani Athumani?

Habari ya Hoyce likely Rais ndio kamteua yeye mwenyewe ila vyombo havikumpa reservations zao kumhusu Hoyce
Analihitaji hizo reservations za Hoyce? Mtu kama aliwahi kuteua katibu mwenez CCM Wilaya akawe DG tena TPDC mpaka watu wakapiga kelele ndo akaja kutengua utashangaa ya Hoyce? Rais tulienae unatakiwa umjue wa aina gani! Huyu ashughulishi ubongo wake, huyu ni wale wa vimemo tu anateua! Hayo yakutaka mpaka amjue huyu ni wa wapi alipita wapi aliyaweza Magufuli pekeake hawa wengine.
 
Hoyce Temu hana level ya kufanya DG wa TISS kubadilika. Hata angeamua kutoroka nchi au kuwa mole bado haitoshi kumbadili mkuu wa TISS.

Leteni hoja nyingine, hii nyepesi sana
Sio Hoyce Temu kama yeye binafsi, hio post aliokua nayo huko UN ,ina uwezo kabisa ya kufanya DG wa TISS aondolewe. Vetting inaonekana ilikua poor na hilo ni kosa la TISS.
 
Kama anamuondoa DG wa TISS alafu anamuacha HOYCE mwenyewe ina maana gani? Unahakika Samia huwa anafanya Vetting? Hujui kuwa kuna wazee wa Vimemo huko nyuma waligombana na Hayati kisa alikataa vimemo vyao? Sio mara ya kwanza Samia kuteua mtu wa ajabu katika nyazfa kubwa! Rejea uteuzi wa Katibu mwenezi wa CCM kuwa DG wa TPDC mwaka juzi.
 
hii ilikuwa funga kazi , in short tuseme tu anahitaji kushauriwa na watangulizi wake
 
Haya ndiyo mambo ya kupeana vyeo,
Unampa mtu ubalozi tena uswiz,unampa mtu cheo ambacho hana hata uzoefu wa mambo ya kidiplomasia
Hii ndiyo shida ya kupeana vyeo kujuana ....

Ova
Celestine ni gwiji ktk wizara hiyo na kwa muda mrefu tambua hili! In short ndie mmoja wa wakongwe ktk wizara.
Na anaijua vyema na amekaa ktk balozi nyingi tu
 
Analihitaji hizo reservations za Hoyce? Mtu kama aliwahi kuteua katibu mwenez CCM Wilaya akawe DG tena TPDC mpaka watu wakapiga kelele ndo akaja kutengua utashangaa ya Hoyce? Rais tulienae unatakiwa umjue wa aina gani! Huyu ashughulishi ubongo wake, huyu ni wale wa vimemo tu anateua! Hayo yakutaka mpaka amjue huyu ni wa wapi alipita wapi aliyaweza Magufuli pekeake hawa wengine.
Fala kweli,katibu mwenezi alikua na elimu gani!?..wewe unamjua vizuri!?..huyo magu mbona akiteua na kutengua!?
 
Kuna reshuffle imefanyika kwenye idara ya usalama, kwa macho ya kawaida inaweza kuonekana hili ni la kawaida, lakini kumbadili DG wa usalama si jambo dogo hata kidogo! Seniors wengine wanaweza kubadilishwa muda wowote wakizingua lakini sio kwa DG

Tumeaunza mwaka na kashfa ya balozi wetu UN Geneva kutuhumiwa kuuza siri za nchi kwa 'maadui' ama kwa watu wenye nia ovu na nchi yetu.. Hili si jambo dogo na kwa baadhi ya nchi hilo ni kosa la uhaini na hakuna adhabu nyingine zaidi ya kitanzi

Idara ya usalama wa nchi ndio ina jukumu la kulinda mkoba/mikoba yote inayohusika na 'siri' za nchi! Anapitokea mtu hata kwa nafasi yake kubwa ya kiuongozi akafanikiwa kupenya, kudukua na kuondoka na kabrasha lolote lenye habari nyeti za taifa bila DG kupata taarifa ama kuchukua hatua, huyo ndiye mwajibikaji no 1...!

Hii kashfa ya Temu ikija kuthimbitika list ya watakaotumbuliwa ni ndefu ila kwasasa tubaki na hili la Mzee wetu Diwani aliyebadilishiwa majukumu na kama hili la Ms Temu ndio limesagia kunguni
kiuno bila mfupa.....,"noma sana"
 
Nachojua wafanyakazi wengi wa ubalozi wanakuwa "Nyoka" sasa kama Hoyce amevujisha siri ilitakiwa na yeye akutwe ameungua kwenye gari au ameokotwa kwenye mtaro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom