Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,548
- 860,634
Kuna reshuffle imefanyika kwenye idara ya usalama, kwa macho ya kawaida inaweza kuonekana hili ni la kawaida, lakini kumbadili DG wa usalama si jambo dogo hata kidogo! Seniors wengine wanaweza kubadilishwa muda wowote wakizingua lakini sio kwa DG
Tumeaunza mwaka na kashfa ya balozi wetu UN Geneva kutuhumiwa kuuza siri za nchi kwa 'maadui' ama kwa watu wenye nia ovu na nchi yetu.. Hili si jambo dogo na kwa baadhi ya nchi hilo ni kosa la uhaini na hakuna adhabu nyingine zaidi ya kitanzi.
Idara ya usalama wa nchi ndio ina jukumu la kulinda mkoba/mikoba yote inayohusika na 'siri' za nchi! Anapotokea mtu hata kwa nafasi yake kubwa ya kiuongozi akafanikiwa kupenya, kudukua na kuondoka na kabrasha lolote lenye habari nyeti za taifa bila DG kupata taarifa ama kuchukua hatua, huyo ndiye mwajibikaji no 1.
Hii kashfa ya Temu ikija kuthimbitika list ya watakaotumbuliwa ni ndefu ila kwasasa tubaki na hili la Mzee wetu Diwani aliyebadilishiwa majukumu na kama hili la Ms Temu ndio limesagia kunguni