Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,624
- 18,833
Aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa kipindi cha serikali ya awamu ya tano bwana Diwani Athumani inasemekana amekuwa akiishi chini ya ulinzi mkali sana.
Diwani Athumani tangu aondoke madarakani haonekani popote na haalikwi kwenye hafla yoyote!
Watu wanajiuliza kama amewekwa detention kutokana na uzembe wake wa kiulinzi uliosababisha ajali ya tarehe 21/3/2021 na kuwaachia maumivu makubwa watanzania kwa nchi kurudi kwenye mikono ya mafisadi kwa kasi kubwa.