smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,580
- 12,237
si ninasikia tz ina reserve kubwa ya uranium. vp kama tz imeingia mkataba wa siri na nchi ambayo ina uhasama na US, China, Russia au Iran wa kuchimba hiyo uranium ili kuboresha vinu vyao vya nuclear.Mkuu mshana taifa letu lina siri gani ya kutunza? Kwani tuna Biochemical laboratories? Nuclear files etc. Tusiwaonee kina Diwan na Hoyce. Nampenda sana Diwani ni mtu wa ibada sana.
Mr Q
hudhani kwamba kwako hiyo inapaswa kuwa siri ya nchi?.
cc Mshana Jr