Je, Hoyce Temu kamponza Diwani Athumani?

acha wivu
Haya ndiyo mambo ya kupeana vyeo,
Unampa mtu ubalozi tena uswiz,unampa mtu cheo ambacho hana hata uzoefu wa mambo ya kidiplomasia
Hii ndiyo shida ya kupeana vyeo kujuana ....

Ova
wa kike:
Unasema hana uzoefu? Polepole[chakubanga ] alipoteuliwa ubalozi alikuwa na uzoefu gani?
HOYCE TEMU alikuwa anafanya kazi UNDP TANZANIA na mkuu kwa hapa Tanzania, yaani kishazoea kukojoa huko angani kwenye ndege kila wiki mara mbili.
 
Sio Hoyce Temu kama yeye binafsi, hio post aliokua nayo huko UN ,ina uwezo kabisa ya kufanya DG wa TISS aondolewe. Vetting inaonekana ilikua poor na hilo ni kosa la TISS.
Kwenye signature yako uliandika mwenyewe za kuambiwa changanya na zako. Kutokufaa kwa Hoyce Temu kuna husika vipi na kutokufaa kwa DG wa TISS?

Kama Hoyce hafai wewe kama kiongozi tufanye assumption umeishia darasa la saba wala huna elimu kubwa, utamuacha huyo ambaye hafai kazini kisha umuondoe mtu mwingine?

Na kwanini mchukulie cheo cha DG wa TISS kama mayai. Kwamba ndio anahusika na kukagua usahihi wa watumishi wa level za chini kama ile. Yani kwa akili yako unadhani Director mzima wa TISS kuna siku amekaa mezani akachukua file la Hoyce Temu kukagua. Ina maana hakuna maafisa waandamizi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kiongozi humu vilaza ni wengi sana, yaan hawajui kuwa hawa sijui wakuu wa Mikoa, mabalozi nk wanahakikiwa na maafisa waandamizi na tena wadogo tu.
 
Analihitaji hizo reservations za Hoyce? Mtu kama aliwahi kuteua katibu mwenez CCM Wilaya akawe DG tena TPDC mpaka watu wakapiga kelele ndo akaja kutengua utashangaa ya Hoyce? Rais tulienae unatakiwa umjue wa aina gani! Huyu ashughulishi ubongo wake, huyu ni wale wa vimemo tu anateua! Hayo yakutaka mpaka amjue huyu ni wa wapi alipita wapi aliyaweza Magufuli pekeake hawa wengine.

Hii issue ilimtia doa sana
 
Kuna reshuffle imefanyika kwenye idara ya usalama, kwa macho ya kawaida inaweza kuonekana hili ni la kawaida, lakini kumbadili DG wa usalama si jambo dogo hata kidogo! Seniors wengine wanaweza kubadilishwa muda wowote wakizingua lakini sio kwa DG

Tumeaunza mwaka na kashfa ya balozi wetu UN Geneva kutuhumiwa kuuza siri za nchi kwa 'maadui' ama kwa watu wenye nia ovu na nchi yetu.. Hili si jambo dogo na kwa baadhi ya nchi hilo ni kosa la uhaini na hakuna adhabu nyingine zaidi ya kitanzi

Idara ya usalama wa nchi ndio ina jukumu la kulinda mkoba/mikoba yote inayohusika na 'siri' za nchi! Anapitokea mtu hata kwa nafasi yake kubwa ya kiuongozi akafanikiwa kupenya, kudukua na kuondoka na kabrasha lolote lenye habari nyeti za taifa bila DG kupata taarifa ama kuchukua hatua, huyo ndiye mwajibikaji no 1...!

Hii kashfa ya Temu ikija kuthimbitika list ya watakaotumbuliwa ni ndefu ila kwasasa tubaki na hili la Mzee wetu Diwani aliyebadilishiwa majukumu na kama hili la Ms Temu ndio limesagia kunguni
Shida ya walozi kila kitu kwao ramli ramli

......since December he left......
 
Ni pamoja na hilo limechangia kwanza alifi ka mahali akaanza kuwa na msimao wake yeye kama yeye ashauriki, naona mama baada ya kutonywa kinachoelendelea kwa huyo aliekuwa newyork mama kaamua kuwachomoa wote
 
Tumeaunza mwaka na kashfa ya balozi wetu UN Geneva kutuhumiwa kuuza siri za nchi kwa 'maadui' ama kwa watu wenye nia ovu na nchi yetu.. Hili si jambo dogo na kwa baadhi ya nchi hilo ni kosa la uhaini na hakuna adhabu nyingine zaidi ya kitanzi
Siri gani za nchi? Mimi nilivyofahamu ni kuwa ametoa siri za competitors wengine akampa mdogo wake ili awe na competitive advantage kwenye procurement. Hilo ni kosa kubwa kwenye UN system.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom