Je, Hoyce Temu kamponza Diwani Athumani?

Je, Hoyce Temu kamponza Diwani Athumani?

Unajua hadi mm nimeshangaa kwann hawa wanawake hawapendani, mtu anaanzisha mada ambayo inamharibia kabisa mwanamke mwenzake na wala haoni tatizo. Hawa wanawake tuishi nao kwa akili sana.

Kwani wanaume nao hawaanzishi post za kumharibia mwanaume mwingine?
Acha unafiki wewe
Mtu mzima ovyooooooo [emoji35]
 
Nani kakwambia DG wa TISS analazimika kujua kila kilichofanywa na balozi anayetuwakilisha.
Hii inaonyesha jinsi gani unatakiwa kujielemisha kuhusu intelejensia. Kwa kifupi tuu lazima mabalozi wote lazima wachungunguzwe ili wasije kuwa double agent.
Kazi ya TISS ni kufanya vetting sasa kama mkuu wa hiyo taasisi ameshindwa kufanya vetting sahihi unategemea aendelee kuachwa?
 
Usiwe mjinga TISS haina mfanyakazi mmoja tu anayeitwa Director General. Mkuu wa mkoa akiua kwa kukusudia tumwambie Rais ajiuzuru? Mkuu wa Chuo akiiba fedha Waziri Mkuu aachishwe kazi.

Yani unategemea DG wa TISS apange ratiba kwenye ofisi yake kufanya vetting ya gold mwanadada mmoja uko anayetakiwa kuteuliwa na Raisi. Hivi hujui maana ya Taasisi? Sasa kama kazi ya kiyaya kama hiyo inafanywa na DG kuna haja gani ya kuajiri agents na makachero mamia ya watu.

Yani kwa akili yako vetting ya mabalozi inafanywa na Director General wa Usalama wa Taifa personally? Unajua delegation of power na power sharing & structure kwenye taasisi?
Yawezekana hata kwako umeoa ila unaosha vyombo na glass zikipasuka unaulizwa wewe, kazi za kitoto zina watu wake rank za kati au chini uko na kazi ikikosewa anawajibishwa wa rank hiyo aliyeisimamia. Hata viranja wa shule ya msingi wanaelewa hili
 
Ufafanuzi tafadhali. Joyce amepatikana na hatia ya kuvunja kanuni za weledi za Umoja wa Mataifa katika Mahakama ya RUFAA ya UN. Kimsingi ameikosea UN au Tz?
 
Ufafanuzi tafadhali. Joyce amepatikana na hatia ya kuvunja kanuni za weledi za Umoja wa Mataifa katika Mahakama ya RUFAA ya UN. Kimsingi ameikosea UN au Tz?
Aliyeandika hii post ni mtu mjinga tu. Kosa la hoyce ni huko alipokua UN
 
Hii inaonyesha jinsi gani unatakiwa kujielemisha kuhusu intelejensia. Kwa kifupi tuu lazima mabalozi wote lazima wachungunguzwe ili wasije kuwa double agent.
Kazi ya TISS ni kufanya vetting sasa kama mkuu wa hiyo taasisi ameshindwa kufanya vetting sahihi unategemea aendelee kuachwa?
Kazi ya TISS ni kufanya vetting sasa kama mkuu wa hiyo taasisi ameshindwa kufanya vetting sahihi unategemea aendelee kuachwa?[emoji818]
 
Hivi unamjua mchagaa ama unamskia lakini. Ukikaa na wazee wa kichaga watakuambia ukweli kuwa watanzania wote tuko sawa ama tunafanana kasoro hao tu. Yaani jamaa ilitakiwa nyerere mlima Kilimanjaro auachie uende Kenya tubakie na Mombasa port yetu
Wachaga ni watanzania kama watanzania wengine ipo hivyo na haitabadilika kamwe
 
acha wivu

wa kike:
Unasema hana uzoefu? Polepole[chakubanga ] alipoteuliwa ubalozi alikuwa na uzoefu gani?
HOYCE TEMU alikuwa anafanya kazi UNDP TANZANIA na mkuu kwa hapa Tanzania, yaani kishazoea kukojoa huko angani kwenye ndege kila wiki mara mbili.
Hata ziro nae Hana uzoefu wowote Ni kupewa tu ukajifunze mbel kwa mbele

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wachaga ni watanzania kama watanzania wengine ipo hivyo na haitabadilika kamwe
Hapana nakataa Ni wasomi wenye hela walisoma kabla ya mkoloni hajaja. Baba yake na mbowe mwenyewe alikuwa anamsaidia nyerere nauli ya Kwenda un utasema kuwa wako sawa na vyasaka. Nikuambie tu hata vyuo vikuu wao ndio wengi mno kuliko jamii nyingine. Tuna neurosurgery Kama Tisa tanzania nzima Ila nadhani labda zaidi ya wanne ama watano wanatokea Kilimanjaro. Mchaga Yuko level zingine ,wanamiliki precision airways,wanamiliki crdb banks,Ni kabila gani ambao Wana shirika kubwa na la umma Kama hayo mawili na yapo mengi.

Yaani wachaga waliwahi kuamka wao waliwakumbatia wamisheni wengine waliwafukuza ujue
 
Ila nikukumbushe tu. Hatutakiwi kuanza kuangalia kabila lipi linaendelea au limeendelea kuliko lingine. Tunatakiwa kuweka utaifa mbele kwanza.

WaTZ wote kwa ujumla wao(iwe Wachagga, Wamaasai, Wamakua n.k), hali zao ni duni/masikini, ya nini tugombee fito ilhali tunajenga nyumba moja(TZ)?
 
Hii inaonyesha jinsi gani unatakiwa kujielemisha kuhusu intelejensia. Kwa kifupi tuu lazima mabalozi wote lazima wachungunguzwe ili wasije kuwa double agent.
Kazi ya TISS ni kufanya vetting sasa kama mkuu wa hiyo taasisi ameshindwa kufanya vetting sahihi unategemea aendelee kuachwa?
We jamaa ni mweupe kichwani.
 
Analihitaji hizo reservations za Hoyce? Mtu kama aliwahi kuteua katibu mwenez CCM Wilaya akawe DG tena TPDC mpaka watu wakapiga kelele ndo akaja kutengua utashangaa ya Hoyce? Rais tulienae unatakiwa umjue wa aina gani! Huyu ashughulishi ubongo wake, huyu ni wale wa vimemo tu anateua! Hayo yakutaka mpaka amjue huyu ni wa wapi alipita wapi aliyaweza Magufuli pekeake hawa wengine.
Rais atawajuwa wangapi wewe?
 
Kama anamuondoa DG wa TISS alafu anamuacha HOYCE mwenyewe ina maana gani? Unahakika Samia huwa anafanya Vetting? Hujui kuwa kuna wazee wa Vimemo huko nyuma waligombana na Hayati kisa alikataa vimemo vyao? Sio mara ya kwanza Samia kuteua mtu wa ajabu katika nyazfa kubwa! Rejea uteuzi wa Katibu mwenezi wa CCM kuwa DG wa TPDC mwaka juzi.
Hoja yako wewe ni ipi kwani kuwa katibu wa ccm wilaya ndio hutakiwi kuwa mkurugenzi?kumbe na wewe hutakiwi kuteuliwa nafasi yeyote.
 
Sio balozi za Tz tu zinakua na watu wa TISS, Ni karibu balozi za nchi zote duniani ndio zinavyofanya kazi zao. Kama za western countries haswa US na UK au Russia..99.9% waliopo kwenye balozi zao ni watu wa CIA, MI6. Hivyo Tz kua nao hao watu balozini ni kitu cha kawaida sana na nchi nyingi zinalijua hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom