Je, Hoyce Temu kamponza Diwani Athumani?

Je, Hoyce Temu kamponza Diwani Athumani?

Kama katoa mawasiliano kwa serikali iliyoshababisha wamfute kazi japo kwa kutumia vigezo rafiki, sio ndio inawezekana ikawa sababu ya serikali kumlipa kwa ubalozi?
Ndiyo ni kweli kuna uwezekano huo. Ndiyo maana jana nilisema inawezekana uteuzi huo ulifanyika kama kuitunishia kifua UN. Na pia ndiyo maana nimesema busara haikutumika na maslahi mapana ya taifa hayakuzingatiwa maana sidhani kama huko walipompeleka angeweza kujenga mahusiano mazuri na kufanya kazi kwa ufanisi na UN ukizingatia historia yake ya hivi karibuni ndani ya UN. Wangetafuta njia nyingine kumlipa fadhila.

Pia kwa tabia yake ya janja janja, inawezekana hata taarifa alizotoa zilikuwa kwa ajili ya kujitengenezea kinga ya baadae na siyo uzalendo wa kweli.
 
Ndiyo ni kweli kuna uwezekano huo. Ndiyo maana jana nilisema inawezekana uteuzi huo ulifanyika kama kuitunishia kifua UN. Na pia ndiyo maana nimesema busara haikutumika na maslahi mapana ya taifa hayakuzingatiwa maana sidhani kama huko walipompeleka angeweza kujenga mahusiano mazuri na kufanya kazi kwa ufanisi na UN ukizingatia historia yake ya hivi karibuni ndani ya UN. Wangetafuta njia nyingine kumlipa fadhila.

Pia kwa tabia yake ya janja janja, inawezekana hata taarifa alizotoa zilikuwa kwa ajili ya kujitengenezea kinga ya baadae na siyo uzalendo wa kweli.
Kuna mahali nimesoma ubalozi wake ni wa Uswisi sio UN sina uhakika wa usahihi wa hili.

Hio ya janja sikuifikiria lakini inawezekana pia.
 
Usipotoshe. Hiyo document inapatikana moja kwa moja kutoka mtandao wa UN. Unadhani kila sehemu wana utamaduni wa kufukia uchafu na uozo ulioko ndani ya taasisi zao?
Uliwahi kusoma management? Document yenyewe umeisoma? Kama umeisoma, umeielewa?
 
Document iko public kama ambavyo zipo nyingine ungetaka ungeipata kwenye mitandao yao wahusika. Kuandika gazeti huku hoja yako imeegemea kutofahamu kunakufanya uonekane kituko kama si muongo aliye humu Kwa kazi maalumu.
Uliwahi kusoma management? Document yenyewe umeisoma? Kama umeisoma, umeielewa?
 
Kuna reshuffle imefanyika kwenye idara ya usalama, kwa macho ya kawaida inaweza kuonekana hili ni la kawaida, lakini kumbadili DG wa usalama si jambo dogo hata kidogo! Seniors wengine wanaweza kubadilishwa muda wowote wakizingua lakini sio kwa DG

Tumeaunza mwaka na kashfa ya balozi wetu UN Geneva kutuhumiwa kuuza siri za nchi kwa 'maadui' ama kwa watu wenye nia ovu na nchi yetu.. Hili si jambo dogo na kwa baadhi ya nchi hilo ni kosa la uhaini na hakuna adhabu nyingine zaidi ya kitanzi.

Idara ya usalama wa nchi ndio ina jukumu la kulinda mkoba/mikoba yote inayohusika na 'siri' za nchi! Anapotokea mtu hata kwa nafasi yake kubwa ya kiuongozi akafanikiwa kupenya, kudukua na kuondoka na kabrasha lolote lenye habari nyeti za taifa bila DG kupata taarifa ama kuchukua hatua, huyo ndiye mwajibikaji no 1.

Hii kashfa ya Temu ikija kuthimbitika list ya watakaotumbuliwa ni ndefu ila kwasasa tubaki na hili la Mzee wetu Diwani aliyebadilishiwa majukumu na kama hili la Ms Temu ndio limesagia kunguni
Mheshimiwa Diwani ameanza mwaka kwa Machozi!
 
acha wivu

wa kike:
Unasema hana uzoefu? Polepole[chakubanga ] alipoteuliwa ubalozi alikuwa na uzoefu gani?
HOYCE TEMU alikuwa anafanya kazi UNDP TANZANIA na mkuu kwa hapa Tanzania, yaani kishazoea kukojoa huko angani kwenye ndege kila wiki mara mbili.
Tuwape wakina manara,mwijaku,babalevo ubaloz
Nao maana nao ndege wanazikwaa sana kwenda ngambo

Ova
 
Hoja yako ni mfu na haina maana kabisa, kama ingekuwa hivyo hata huyu aliyepewa angeondolewa maana alikuwa Naibu DGIS, pia Diwani hajapata demotion amepanda juu, anakuwa chief of Staffs sio cheo kidogo kama unavyodhania.

Balozi zetu zote ziko na 80% ya watu wa TISS, JWTZ na POLISI.
Sio rahisi hivyo, na hakuna mtu ameuza siri za nchi kwa maadui kama inavyoaminishwa, na nikwambie kama hujui kitu tulia na uache kukurupuka.

Nchi yetu top secret hawezi pewa BALOZI. Top secret zetu access yake sio rahisi kama inavyodhania ww, TISS sio kwamba wao ndio wana kila taarifa, always agency zingine zinafanya kazi kukeep hizo secret, na wakati mwingine DGIS anakosa taarifa muhimu na watabe wanamfikishia RAIS direct.

Suala la Usalama wa nchi yetu achana nalo, wewe ni mtoto sana, usijidanganye na influence za hapa jukwaani Dogo.
Ha ha haaaa...hata secreat za CIA, KGB au hata MI5 zinauzika tena na inner people (refer Snowden)sembuse hao chawa wa mama wenye njaa?

Acha kuikuza TISS ivo while Kagame tu anawatoa kamasi!
 
Nadhani umemkuza mno kuliko uhalisia. Issue zake ni binafsi na kama wengine walivyosema, ni kesi za nyuma kabla hata hajapelekwa Uswizi.

Swali linakuja kwa nini mtu ambaye hana uzoefu na diplomasia alipewa ubalozi tena sehemu nyeti huku wakijua ana makandokando tena huko huko ndani ya UN? Walikuwa wanataka kuachieve nini? Je hawakudhani hiyo ingeweza kuleta mazingira mabaya ya kazi kati ya ofisi ya ubalozi wetu na UN huko Uswizi?

Mfumo wetu wa kupata viongozi na watumishi wa umma ulivurugika toka zamani, huu tu ni mfano wa jinsi system ilivyooza. Tutamlaumu bure kwa kumteua ila jiulize na yeye amefika hapo kwa uwezo gani?
Kwani UN imehamia lin uswis!?
 
Kwani UN imehamia lin uswis!?
Ofisi za UN zipo katika miji ya New York City, Geneva, Nairobi, Vienna na The Hague.

Kuna ofisi za taasisi nyingi za UN Geneva. Ni kwa sababu hiyo nchi nyingi zina wawakilishi wao wa UN wanaofanyia kazi Geneva, tofauti na wale waliopo makao makuu ya UN New York City.
 
Ha ha haaaa...hata secreat za CIA, KGB au hata MI5 zinauzika tena na inner people (refer Snowden)sembuse hao chawa wa mama wenye njaa?

Acha kuikuza TISS ivo while Kagame tu anawatoa kamasi!
Kagame huyu huyu tuliyekuwa nae MALINDI?? unajua unachokiongea? Au kwa akili yako kuna kiongozi yeyote hapa East Africa tusiyemmudu kwa kila kitu?? Anzia na mzee wao Museven mpaka Ruto, hao wote sisi ndio tunawacontrol kwenye ishu za Usalama kwa ukanda huu.

Acha kuona kama watu hawamjui KAGAME, kama hujui ni mmoja wa vijana waliofundishwa hapa kwetu, na hata hiyo Rwanda haina lolote mbele ya TZ, wataisumbua DR CONGO tu na sio TZ.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom