Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,619
- 22,536
"Alikuwa"!HOYCE TEMU hakuwa Balozi wa kudumu wa UN alikuwa balozi wetu Uswizi.
Kwani kaondolewa lini?
"Alikuwa"!HOYCE TEMU hakuwa Balozi wa kudumu wa UN alikuwa balozi wetu Uswizi.
Kwanza Hoyce Temu anamponza vipi DG wa TISS halafu yeye Hoyce Tenu abaki?Hoyce Temu hana level ya kufanya DG wa TISS kubadilika. Hata angeamua kutoroka nchi au kuwa mole bado haitoshi kumbadili mkuu wa TISS.
Leteni hoja nyingine, hii nyepesi sana
"Watabe" ndiyo machawa walioongelewa jana kwenye hutba?Hoja yako ni mfu na haina maana kabisa, kama ingekuwa hivyo hata huyu aliyepewa angeondolewa maana alikuwa Naibu DGIS, pia Diwani hajapata demotion amepanda juu, anakuwa chief of Staffs sio cheo kidogo kama unavyodhania.
Balozi zetu zote ziko na 80% ya watu wa TISS, JWTZ na POLISI.
Sio rahisi hivyo, na hakuna mtu ameuza siri za nchi kwa maadui kama inavyoaminishwa, na nikwambie kama hujui kitu tulia na uache kukurupuka.
Nchi yetu top secret hawezi pewa BALOZI. Top secret zetu access yake sio rahisi kama inavyodhania ww, TISS sio kwamba wao ndio wana kila taarifa, always agency zingine zinafanya kazi kukeep hizo secret, na wakati mwingine DGIS anakosa taarifa muhimu na watabe wanamfikishia RAIS direct.
Suala la Usalama wa nchi yetu achana nalo, wewe ni mtoto sana, usijidanganye na influence za hapa jukwaani Dogo.
Well, issue za hoyce ni yeye na aliyekua muajiri wake UNDP, sidhani kama zina uhusiano na TISS.
May be tuseme baada ya kuwa rufaa yake huko kwa aliyekua muajiri wake imeshindikana tuseme atumbuliwe kwakua ameonekana hakufit ila has nothing to do na Diwan. Pia masuala ya Hoyce yamepita sio ya sasa hizo ni rulling za mambo yake kipindi cha nyuma...kwa tamaduni za wanasiasa wetu hiyo ngoma ni ndogo sana wanaweza funika kombe! Labda UN walete pressure kua huyu mtu aliwe kichwa! Wakuu Someni hukumu hiyo ya rufaa attached ili kuelewa issue zenyewe tofauti na mtandaoni watu wanavyoongea!
Nimeisoma hukumu hiyo neno kwa neno. Moja ya tuhuma za mwanzo kabisa walizozisema ni kutoa mawasiliano ya ndani ya UN kwa maofisa wa serikali. Ingawa hiyo tuhuma haikuongelewa tena katika document hiyo, inaonyesha ndiyo iliwapa sababu ya kumfuatilia zaidi na ndiyo wakakuta hayo mambo ya kuinufaisha kampuni yake binafsi na kumuunganisha dada yake na dili la UN.Ni kiingereza kigumu tu ndugu yangu, watu hawajaelwa kilichoandikwa humo. Hakuna chochote kilichoandikwa humo kinachoongelea siri za nchi; sana sana siri za organisation
Kwenye taasisi za UN/US,hutakiwi kutumia nafasi yako ndani ya hizo taasisi kujinufaisha binafsi!huyu dada kafanyaje kwani
DC jokate aliteuliwa na nani kisaraweAnalihitaji hizo reservations za Hoyce? Mtu kama aliwahi kuteua katibu mwenez CCM Wilaya akawe DG tena TPDC mpaka watu wakapiga kelele ndo akaja kutengua utashangaa ya Hoyce? Rais tulienae unatakiwa umjue wa aina gani! Huyu ashughulishi ubongo wake, huyu ni wale wa vimemo tu anateua! Hayo yakutaka mpaka amjue huyu ni wa wapi alipita wapi aliyaweza Magufuli pekeake hawa wengine.
Hiyo document inaweza kuwa ni forged, siyo yake Hoyce.Nimeisoma hukumu hiyo neno kwa neno. Moja ya tuhuma za mwanzo kabisa walizozisema ni kutoa mawasiliano ya ndani ya UN kwa maofisa wa serikali. Ingawa hiyo tuhuma haikuongelewa tena katika document hiyo, inaonyesha ndiyo iliwapa sababu ya kumfuatilia zaidi na ndiyo wakakuta hayo mambo ya kuinufaisha kampuni yake binafsi na kumuunganisha dada yake na dili la UN.
Mambo ya likizo ya uzazi yamekuja baadae wakati tuhuma na uchunguzi ukiwa umekamilikana yeye akataka likizo ndefu ya matibabu wakati ameshafukuzwa!
Kiufupi uteuzi wake haukuwa wa busara na haukuzingatia maslahi mapana ya nchi.
Sasa kama ni siri mmejuaje[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani unakopa Trillion 1.3 halafu riba na marejesho ni trillion 10, huoni kama ni siri kubwa hiyo?
Kuteuliwa kuwa DC sio issue kubwa sana tofauti angeteuliwa kuwa DG labda TPADC jokate aliteuliwa na nani kisarawe
CIA wakizitaka hawazipati[emoji23][emoji23][emoji23] hawajazitaka tu maana hazina umuhimu kwaoHoja yako ni mfu na haina maana kabisa, kama ingekuwa hivyo hata huyu aliyepewa angeondolewa maana alikuwa Naibu DGIS, pia Diwani hajapata demotion amepanda juu, anakuwa chief of Staffs sio cheo kidogo kama unavyodhania.
Balozi zetu zote ziko na 80% ya watu wa TISS, JWTZ na POLISI.
Sio rahisi hivyo, na hakuna mtu ameuza siri za nchi kwa maadui kama inavyoaminishwa, na nikwambie kama hujui kitu tulia na uache kukurupuka.
Nchi yetu top secret hawezi pewa BALOZI. Top secret zetu access yake sio rahisi kama inavyodhania ww, TISS sio kwamba wao ndio wana kila taarifa, always agency zingine zinafanya kazi kukeep hizo secret, na wakati mwingine DGIS anakosa taarifa muhimu na watabe wanamfikishia RAIS direct.
Suala la Usalama wa nchi yetu achana nalo, wewe ni mtoto sana, usijidanganye na influence za hapa jukwaani Dogo.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya tank MOJA ya pamba na kilo moja ya dhahabuHoja yako ni mfu na haina maana kabisa, kama ingekuwa hivyo hata huyu aliyepewa angeondolewa maana alikuwa Naibu DGIS, pia Diwani hajapata demotion amepanda juu, anakuwa chief of Staffs sio cheo kidogo kama unavyodhania.
Balozi zetu zote ziko na 80% ya watu wa TISS, JWTZ na POLISI.
Sio rahisi hivyo, na hakuna mtu ameuza siri za nchi kwa maadui kama inavyoaminishwa, na nikwambie kama hujui kitu tulia na uache kukurupuka.
Nchi yetu top secret hawezi pewa BALOZI. Top secret zetu access yake sio rahisi kama inavyodhania ww, TISS sio kwamba wao ndio wana kila taarifa, always agency zingine zinafanya kazi kukeep hizo secret, na wakati mwingine DGIS anakosa taarifa muhimu na watabe wanamfikishia RAIS direct.
Suala la Usalama wa nchi yetu achana nalo, wewe ni mtoto sana, usijidanganye na influence za hapa jukwaani Dogo.
Kama katoa mawasiliano kwa serikali iliyoshababisha wamfute kazi japo kwa kutumia vigezo rafiki, sio ndio inawezekana ikawa sababu ya serikali kumlipa kwa ubalozi?Nimeisoma hukumu hiyo neno kwa neno. Moja ya tuhuma za mwanzo kabisa walizozisema ni kutoa mawasiliano ya ndani ya UN kwa maofisa wa serikali. Ingawa hiyo tuhuma haikuongelewa tena katika document hiyo, inaonyesha ndiyo iliwapa sababu ya kumfuatilia zaidi na ndiyo wakakuta hayo mambo ya kuinufaisha kampuni yake binafsi na kumuunganisha dada yake na dili la UN.
Mambo ya likizo ya uzazi yamekuja baadae wakati tuhuma na uchunguzi ukiwa umekamilikana yeye akataka likizo ndefu ya matibabu wakati ameshafukuzwa!
Kiufupi uteuzi wake haukuwa wa busara na haukuzingatia maslahi mapana ya nchi.
Document iko public kama ambavyo zipo nyingine ungetaka ungeipata kwenye mitandao yao wahusika. Kuandika gazeti huku hoja yako imeegemea kutofahamu kunakufanya uonekane kituko kama si muongo aliye humu Kwa kazi maalumu.Hiyo document inaweza kuwa ni forged, siyo yake Hoyce.
Watu wanaweza kuwa wamechukua case law ya mtu mwingine halafu wakatumia computer ku-REPLACE NAME Makanyanga Mabirika na MS TEMU.
Document hiyo inaonyesha kuwa haina uhusiana kabisa na ajira ya sasa ya binti na hata ile ya zamani kwa sababu kama ingekuwa, taarifa hizi zingemfikia mama na mama asingemteua. Still, hata binti mwenyewe angeweza ku-disclose case hiyo kwa mama, kabla ya uteuzi wake, asingeweza kumficha. Ikumbukwe kuwa mojawapo ya sifa nyingine iliyojificha kati ya mabalozi na wateuzi wao, pamoja namabalozi kuwa na qualifications nzuri za kuwa mabalozi, baadhi yao pia huwa ni marafiki wa wale wanaowateua, hasa ukikuta kuwa ni watu waliokuwa waanafahamiana kabla. Hoyce angekuwa anakabiliwa na case ya namna hiyo, asingeweza kumficha mama; organisation yake nayo pia vile vile isingeweza kumficha mama. The document is a hoax
By the way, chombo kikubwa kama UNDP wanaweza kweli waka-release information zao ambazo ziko as classified as to that level, kwenye mtandao? Je, wanaweza kuwa reckless kiasi cha kuweza kuponyokwa na taarifa muhimu kama hizi za huyu binti?
Je, in case wakiponyokwa, si inabidi sasa wao wenyewe waingie tena gharama za kumlipa damages? Confidentiality between organisations na employees huwa haiko upande mmoja tu kwamba wewe employee peke yako ndiyo unatakiwa utunze siri za organistaion,; hapana. Organisation nayo pia inatakiwa itunze siri za employees, especially kwa wale wanaoachoshwa kazi kwa sababu hao ndiyo potential threat wanaoweza kuigharimu zaidi organistaion isipojipanga vizuri
Ninachoamini hiyo document ni case law ambayo ni real iliwahi kuwepo ila ni ya mtu mwingine, na siyo ya Hoyce
Yes ni BALOZI WETU USWIZINi balozi wetu
Usipotoshe. Hiyo document inapatikana moja kwa moja kutoka mtandao wa UN. Unadhani kila sehemu wana utamaduni wa kufukia uchafu na uozo ulioko ndani ya taasisi zao?Hiyo document inaweza kuwa ni forged, siyo yake Hoyce.
Watu wanaweza kuwa wamechukua case law ya mtu mwingine halafu wakatumia computer ku-REPLACE NAME Makanyanga Mabirika na MS TEMU.
Document hiyo inaonyesha kuwa haina uhusiana kabisa na ajira ya sasa ya binti na hata ile ya zamani kwa sababu kama ingekuwa, taarifa hizi zingemfikia mama na mama asingemteua. Still, hata binti mwenyewe angeweza ku-disclose case hiyo kwa mama, kabla ya uteuzi wake, asingeweza kumficha. Ikumbukwe kuwa mojawapo ya sifa nyingine iliyojificha kati ya mabalozi na wateuzi wao, pamoja namabalozi kuwa na qualifications nzuri za kuwa mabalozi, baadhi yao pia huwa ni marafiki wa wale wanaowateua, hasa ukikuta kuwa ni watu waliokuwa waanafahamiana kabla. Hoyce angekuwa anakabiliwa na case ya namna hiyo, asingeweza kumficha mama; organisation yake nayo pia vile vile isingeweza kumficha mama. The document is a hoax
By the way, chombo kikubwa kama UNDP wanaweza kweli waka-release information zao ambazo ziko as classified as to that level, kwenye mtandao? Je, wanaweza kuwa reckless kiasi cha kuweza kuponyokwa na taarifa muhimu kama hizi za huyu binti?
Je, in case wakiponyokwa, si inabidi sasa wao wenyewe waingie tena gharama za kumlipa damages? Confidentiality between organisations na employees huwa haiko upande mmoja tu kwamba wewe employee peke yako ndiyo unatakiwa utunze siri za organistaion,; hapana. Organisation nayo pia inatakiwa itunze siri za employees, especially kwa wale wanaoachoshwa kazi kwa sababu hao ndiyo potential threat wanaoweza kuigharimu zaidi organistaion isipojipanga vizuri
Ninachoamini hiyo document ni case law ambayo ni real iliwahi kuwepo ila ni ya mtu mwingine, na siyo ya Hoyce
Hapana ni watumishi na kazi zao ni hiyo hiyo."Watabe" ndiyo machawa walioongelewa jana kwenye hutba?