JamiiForums Usiku wa manane
Hao ni rafiki zetu bila wao tungeshasinzia mapema pamoja na hivyo chukua tahadhali maana ndio wanaoongoza kwa kudedisha watu kwa mwaka Corona ikasubiri.
Balaa la mbu sio la kawaida, hadi sasa yeye ndo anashikilia rekodi ya kudedisha binadamu wengi duniani.
Hivi hakuna namna ya kuwatokomeza wakaisha wote, au wakiisha dunia itapata madhara fulani?
 
Madhala ya mbu ni Endemic hawapo kwenye group la epidemic wala pandemic. Hawataweza kuisha kabisa kwasababu central America na Africa especially equatorial region kuna mazingira ya wadudu Hawa kuzaliana kwa wingi na kuwa na maisha endelevu miaka kwa miaka ijayo. Maisha yao yataisha pale tu hali ya hewa itakapokuja kubadirika ukanda huo tajwa kitu ambacho kinaweza tokea baada ya miaka billions kuja kutokomeza mazingira ishi ya mbu.
 
Kwa hiyo hatuna budi kuendelea kuchukua hatua za kupunguza madhara kutoka kwao na kupunguza mazailia yao angalau katika maeneo yetu ya kuishi. Pia naona kampeni ya kupambana na maralia inapewa kipaumbele sana, lakini bado inahitajika nguvu zaidi hasa kwa sisi wananchi, wengi wetu tunapambana na mbu kimazoea bado na si kama tunavyoshauriwa na wataalamu wa afya.
 
Exactly mkuu pambana kuboresha mazingira yako binafsi na yakuzungukayo kutokomeza mazalia yao. Tukifanikiwa hili basi mazaliano yao yatabaki huko porini na madhala yao kwa binadamu yatakuwa yamepungua dramatically.
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Mbona hujasema ulipo tangu 2016
 
Exactly mkuu pambana kuboresha mazingira yako binafsi na yakuzungukayo kutokomeza mazalia yao. Tukifanikiwa hili basi mazaliano yao yatabaki huko porini na madhala yao kwa binadamu yatakuwa yamepungua dramatically.
Hakika. Maana kwa hadi sasa mtizamo wa watu wengi ni kupambana na maralia kwa kutumia dawa ilihali msabishi msambazaji wa maralia anachukuliwa poa. Nadhani kama isingekuwa usumbufu ambao mbu anatoa kwa binadamu basi vifo vitokanavyo na maralia vingekuwa vingi maana hizi kero zake ndo zinafanya angalau watu watumbuke nae kwa kiasi fulani.
 
Back
Top Bottom