Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,286
- 18,570
Dah, mi hapa usingizi umekata halafu hizi pipo zote zimalala. Anyway, ngoja niwe nazurura tu humu huku nikijiimbisha kuchangamsha maana watu wa mtaa huu wakisikia pako kimya hawakawii kuja kuiba humu, wasije kuiba nyuzi brre...