chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Don Clericuzio mzima?
Hahahaha
Inaonekana wewe sio msaliji wa hii sala, maana hata kuandika kwa usahihi umeshindwa. Sahihi ni "Taraweh".Ngoja tuswali talawee
Nasubiri uanze kutudondoshea likes hizo bibie.Don Clericuzio mzima?
Aah 😂😂
Hahaha mwenyewe naondoka muda si mrefu macho mazitoLeo usingizi hakuna hapa, bora chiqutitta amerudi.
Duh huu wema umeuanza lini mkuu Super Villain. Siku zote tupo wote tuna hassle pamoja, achilia mbali sisi masela lakini hata Goddess nina hakika hajawahi kirimiwa kwa kiwango hiki. When did you started to be so generous man?


Nimeanza jana huu wema.Hahaha mwenyewe naondoka muda si mrefu macho mazito
Acha nibadili maisha we mzee.Mkuu fyddell huyo Super Villain ana cheo chake na boss wake mkuu ni mng'ato. Labda huku anaingia shift ya usiku. Ila ni full time employee kwa chama la wana![]()
Utaweza!Nitakupepea
Kwenu jogoo anawika mapema hivyo saa 9Sijawahi kulala mida kama hii, afu niliskia kabisa jogoo akiwika mtaani kuashiria kumekucha doh, mko vizuri nyiee

Hata usijaliNasubiri uanze kutudondoshea likes hizo bibie.
Time ni saa 6 kamili bibie.Walinzi mpo au shifti bado?
Kwenu jogoo anawika mapema hivyo saa 9![]()



Kwani ushajua ni jogoo gani.? Uwe unauliza![]()


Ngoja aje afafanue vizuri ni jogoo gani huyo ndio maana nimeuliza ujue.Muhimu sana.Hata usijali