Nijae babu.Alie macho muda huu
Poa bablaiNijae babu.
Naona ulikuwa kwenye maongezi na bibie chiqutittaPoa bablai
Nooo kwanza hayupo on-lineNaona ulikuwa kwenye maongezi na bibie chiqutitta
Aaah ushamuangalia kuwa hayupo hewaniNooo kwanza hayupo on-line

Hapana nimeona last chart yake hapo juu na sijaiona nyingineAaah ushamuangalia kuwa hayupo hewani![]()
Liccm
Anaweza kurudi lakini.Hapana nimeona last chart yake hapo juu na sijaiona nyingine
Ni mwanamke Bora anaonyeshaAnaweza kurudi lakini.
Sijui sina uwakika na hili unalosema mzee.Ni mwanamke Bora anaonyesha
Nimeshinda salama na kiulaini kabisa, tena mechi zote za nje na za ndani. Vipi kuhusu wewe mkuu...?Nipo nipo Stephen, umeshindaje?