spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
0237
MmmhhInna geti likifunguliwa nishtue nna ujumbe wako,...Niko nachek mechi ila nikifungwa tuu nalala maana sitokuwa na nguvu ya kukupatia ujumbe wako.
Aisee![]()
![]()
![]()
Faini zinawahusu, (rushwa napokeaga ila sio kiviiile)![]()
MambozMmmhh
Happy new year!Aisee![]()
![]()
![]()
![]()
Mwanafunzi wangu misiii yuu moooTupo, tulikushikia zamu yako tu. Njoo uendelee na lindo
Nigawie basi Demiss
Poa mkuuAya usiku mwema ngoja tulale sie
![]()
Kweli unasinzia tena unasinzia ukiwa unakimbia. Tangu lini nikawa na upara mimi? Au ukionaga unywele wangu unadhanigi ni mawigi.....

Happy new year tooHappy new year!
Mzee haulali?
Last man standing of all the timesMzee haulali?
MorningMmmhh
