[emoji1] [emoji1] ndio raha ya kuish uswahiliniJamani nawatakia mkesha mwema! Mimi ngoja nikawaone jirani zangu nasikia vitu vinaunguruma ndani kwao bila shaka kuna bodaboda imepotea njia ikaingia ndani mwao
Miss you more my dear!Thad miss u
Hilo ni gumu, kama wewe kuwa na kipenz changuWw endelea nitakuja nikukimbize humu JF.
Si useme tu unaenda kwa hunter kiishe[emoji40]Jamani nawatakia mkesha mwema! Mimi ngoja nikawaone jirani zangu nasikia vitu vinaunguruma ndani kwao bila shaka kuna bodaboda imepotea njia ikaingia ndani mwao
[emoji12] [emoji12]Ndugu wakigombana shika jembe ukalime....[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Aya we kuwa mbishi tuHilo ni gumu, kama wewe kuwa na kipenz changu
Kama chepe liko kwa Maserati basi, acha tu huyo ni mwanamke mwenzangu, siwezi kunyang'anyana naye chepeSubiri nimuulize Maserati kwanza maana mara ya mwisho alikuwa anatengezea tuta la maji ili yasiingie ndani.
Wana bahati nimestaafu uchochezi, vinginevyo ningehakikisha hapa panachimbika kwa cheche za moto
Huyu anataka kutugombanisha sio bureOhoooo uchochezi huoooo
Njia panda ya kuwa ulayaMiss you more my dear!
Uko poa lakini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wana bahati nimestaafu uchochezi, vinginevyo ningehakikisha hapa panachimbika kwa cheche za moto
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ndo wapi huko?Njia panda ya kuwa ulaya
Hahaha ndo matatizo ya kusinzia alafu hutaki kulala[emoji42] [emoji42]Vipi mkuu mbona unaanza kunena kwa kichaga, kwani baba mchungaji karuhusu hii lugha itumike kunenea?
Hapana bwana, zile mbinu zote nilizokuwa nazitumia kuchochea nimeshaziuza kwa wafuasi wa Mugabe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wastaafu mara moja moja wanahitajikaga kwenye imejensi kama hizi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] loh hupajui[emoji15] [emoji15] [emoji15] ndo wapi huko?
Lala tu kwa kweli.Hahaha ndo matatizo ya kusinzia alafu hutaki kulala[emoji42] [emoji42]
Ngoja nipumzishe hizi taa za asili huenda kesho (baadae) nikaona vizuri nilichoandika.
Sipajui kwa kweli[emoji2] [emoji2] [emoji2] loh hupajui