Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Koh koh koh (uzee mbaya sana)Maskini, kumbe Mwifwa ni single dady, kwahiyo sasa hivi anabembeleza mwanae mpaka saa tisa...
Wacha nikaombe kibarua cha uyaya wa mwanae
Koh koh koh (uzee mbaya sana)Maskini, kumbe Mwifwa ni single dady, kwahiyo sasa hivi anabembeleza mwanae mpaka saa tisa...
Wacha nikaombe kibarua cha uyaya wa mwanae
Hahaha hilo wigi kuna siku ntakuvizia nilivue walahi, naomba tusifike mbali. Nitasema Kweli Uongo kwangu Mwiko (TANU)
Nifichie aibu mwana TANU mwenzanguHivi kumbe penzi lako na Inna lilimea mizizi kweli?♡Laaziz♡
nimekuja kwa speed ya 4G, Nipo kwa ajili yako

Sawa kiongozi wetuPicha za kikubwa zina jukwaa lake mkuu, nadhani huko inapendeza zaidi. Hapa ni kubundiz na kupopoz only.
Unamtaka wa nn wakati kalala hapa.♡Laaziz♡
nimekuja kwa speed ya 4G, Nipo kwa ajili yako
Hapa ni marufuku kupita kimya kimya pasipo kutia neno, rudi utusabahi kiongozi
Thad upo mremboHivi kumbe penzi lako na Inna lilimea mizizi kweli?
Yaani Ivunga na mjr95 walishindwa kabisa kuwafitinisha?![]()
![]()
![]()
Hahaha wewe tena, hata wanikate naniliu, siri kwetu haiwezi kua bayana, nilikua nakutania tu. Zidumu Sera za Mwenyekiti.![]()
![]()
![]()
Nifichie aibu mwana TANU mwenzangu
Hizo ni ndoto za alinacha kamanda kama tz kuwa kama marekaniUnamtaka wa nn wakati kalala hapa.

Hivi picha za kikubwa ndo zipi hizo?Picha za kikubwa zina jukwaa lake mkuu, nadhani huko inapendeza zaidi. Hapa ni kubundiz na kupopoz only.

Naona kuna moshi hapa, soon moto utawakaHivi kumbe penzi lako na Inna lilimea mizizi kweli?
Yaani Ivunga na mjr95 walishindwa kabisa kuwafitinisha?![]()
![]()
![]()

Subiri nimuulize Maserati kwanza maana mara ya mwisho alikuwa anatengezea tuta la maji ili yasiingie ndani.Afadhali nimekuona, naomba uniazimishe hilo koleo/ chepe, nina shida nalo kweli
Pamoja komredi.Sawa kiongozi wetu
Naomba acha mazoea na huyo kiumbe, chunga sana utaumia kijana.Hizo ni ndoto za alinacha kamanda kama tz kuwa kama marekani![]()
![]()
Wamechemka mimi nimeaga nyumban kwetu hadi vijikoHivi kumbe penzi lako na Inna lilimea mizizi kweli?
Yaani Ivunga na mjr95 walishindwa kabisa kuwafitinisha?![]()
![]()
![]()
Cc ThadAmbaye bado yupo macho ni nani maana usingizi umenikaa kabisa. Siku yaleo
Siku nyingine usiishie kusubiria kufurahi na mimi, uwe unakuja na kuhuzunika nami piaAisee haya bhana, yani jitihada zote zil e hazijaonekana hata kidogo. Leo naona umenipania kabisa. Ila sintachoka kukuombea na kufurahia kuwa huru.![]()