JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jamani sikutekwa na mtu yeyote bali nilikamatwa na sirikali eti kwa kuwa nilinyoa kiduku. Sasa hivi tu ndio nimepata dhamana kutoka mpendwa mmoja hapa, nikaona nipite hapa kuwasabahi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uongo mwingine bhana, sasa tokea lini mtu mwenye upara akanyoa kiduku.[emoji40]
(Nasinzia)
 
Labda wewe, lakini huyo Nleterewa Nganengo sio kweli, maana naliumwa hakuja kuniona, nalikuwa gerezani hakuja kunifariji, nalikuwa na njaa hakunipa chakula, nalikuwa uchi hakunivika.....

Vip Mwifwa, hajambo? Naye ni wale wale kasoro sekunde.

Ukimuona jje's na HB wa kigogo wasalimie waambie tukumbukane japo kwa barua
Hhahaa pole aje ajitetee apa mwenyew...jje's yupo ndo anafarijiana na kaka ake apa
Hb wa kigogo alipoteza cm atarudi kua nas pamoja

Mwifwa single dady anakuja mida ya sa tisa
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ahsante Mungu Baba wa Mbinguni kwa kumleta huyu kiumbe aliyekua ametekwa na Hunter wa viwango vya juu lakini Leo tuko nae pamoja kilingeni. Habari ya utekwaji?
Mbaya....
Laiti maombi haya ungekuja kuniombea nilipokuwa lupango, hakika milango ya gereza ingefunguka nitoke [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji713] [emoji742] [emoji765] [emoji639] [emoji768] [emoji742] [emoji702] [emoji671]

[emoji671] [emoji624] [emoji624] [emoji742]

[emoji677] [emoji639] [emoji671] [emoji677] [emoji639] zZ

[emoji702] [emoji712] [emoji742] [emoji758]

Nimeletewa hooh sorry Nililetewa ooh no! Nleterewa... ok hivyo hivyo!

Dingimnoko eeh heeeh Dingi mtoto!
 
Labda wewe, lakini huyo Nleterewa Nganengo sio kweli, maana naliumwa hakuja kuniona, nalikuwa gerezani hakuja kunifariji, nalikuwa na njaa hakunipa chakula, nalikuwa uchi hakunivika.....

Vip Mwifwa, hajambo? Naye ni wale wale kasoro sekunde.

Ukimuona jje's na HB wa kigogo wasalimie waambie tukumbukane japo kwa barua
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24] [emoji125] [emoji125]
Huu mwaka naonewa sana. Eeh Mungu nipe uvumilivu.
 
[emoji713] [emoji742] [emoji765] [emoji639] [emoji768] [emoji742] [emoji702] [emoji671]

[emoji671] [emoji624] [emoji624] [emoji742]

[emoji677] [emoji639] [emoji671] [emoji677] [emoji639] zZ

[emoji702] [emoji712] [emoji742] [emoji758]

Nimeletewa hooh sorry Nililetewa ooh no! Nleterewa... ok hivyo hivyo!

Dingimnoko eeh heeeh Dingi mtoto!
Last man standing himself[emoji23] [emoji23]
 
Hhahaa pole aje ajitetee apa mwenyew...jje's yupo ndo anafarijiana na kaka ake apa
Hb wa kigogo alipoteza cm atarudi kua nas pamoja

Mwifwa single dady anakuja mida ya sa tisa
Mimi wala haina haja ya kujitetea. Ila kwa nilivyojitahidi kumtafuta kwa maneno na vitendo Mungu anajua[emoji24] [emoji125]
 
Back
Top Bottom