JamiiForums Usiku wa manane
Haha alafu umemteka wapi Thad ww
Jamani sikutekwa na mtu yeyote bali nilikamatwa na sirikali eti kwa kuwa nilinyoa kiduku. Sasa hivi tu ndio nimepata dhamana kutoka mpendwa mmoja hapa, nikaona nipite hapa kuwasabahi
Aisee, hili swali ukiniuliza unanionea, tokea Manga ML apotee na yeye simwoni. Juzi juzi nilisikia alikua na teacher wake Mwifwa lakini nikimwuliza anaruka futi 100. Cc Thad
 
Hahaha mwalimu wako nleterewa alikumiss sana pamoja na mm
Labda wewe, lakini huyo Nleterewa Nganengo sio kweli, maana naliumwa hakuja kuniona, nalikuwa gerezani hakuja kunifariji, nalikuwa na njaa hakunipa chakula, nalikuwa uchi hakunivika.....

Vip Mwifwa, hajambo? Naye ni wale wale kasoro sekunde.

Ukimuona jje's na HB wa kigogo wasalimie waambie tukumbukane japo kwa barua
 
Back
Top Bottom