JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha mshiki bhana, saivi wacha niachie vijana wenye pumzi, nisije nikapoteza umauti katikati ya uwanja bure[emoji40]
Siku izi macho hayaoni tena vizuri, hata kuweka uzi kwenye sindano taabu sana[emoji85] [emoji125]
Ile maneno msacha oko mkunde haihitaji macho, duuuh bhana endelea na mtanange ufaidi matunda ya Mungu
 
Hahaha hua najitahidi mara moja moja tena mchana ili mwanga unisaidie[emoji87]
Mshiki ujue macho ni muhimu sana, siku izi sehemu za kupitisha Uzi wa kushonea ziko nyingi ujue, ni muhimu kuangalia kama Uzi umepita sehemu sahihi [emoji85] (sio mimi nimeandika)
 
Na kweli

Sio wewe my kaka nakujua. Aliyechukua cm yako mwambie aache kbsa hayo maandishi
 
Back
Top Bottom