JamiiForums Usiku wa manane
Uambie
Moyo wangu umekufwa kabisa hapa.

Habari za masiku kibao!!
Huo moyo uache kufwa na kumuacha muhusika. Mm niko pouwa Mr.alihakikisha ananipa kazi ambazo alijua hadi arudi safarini nitakuwa zijazimaliza. Ndo maana nilikuwa nje kidogo but now we are all back.
 
Nafurahi kusikia hivyo, pole sana na karibu tena kundini.

Thad naye kapotea sijui ndio mumepokezana!!?
 
Back
Top Bottom