JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] best hivi hao wanaume walikukosea nini? Maana kila ukiamka unao!

Ila wanaume wa hapa wote wameoga na wamepaka mafuta. Labda wanaume wa jukwaa la siasa ndo wamelala bila kuoga wale [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wanaume mna matatizo sana nyie hampendi kuoga mkivua viatu vinanuka kamweee sitawapendaa
 
Alikuwa usingizini kaamka nalo hilo! tujumuike nae tuu
tu jumuike tu yan kushinda kote hapa mpaka saiv sababu ni mwanamme nasemea hivi Sitaacha kuwaponda na kasoro zenu kibao kupigwa baridi peke yangu sababu wanaume
 
Back
Top Bottom