Karibu tucheze Game ya wakubwa ileSaa 7usiku eti nacheza game supermario, ile ya watoto..zaidi ya masaa mawili sasa.
Baadae nitaanza kucheza game nyingine dream legue.
Karibu tucheze Game ya wakubwa ile
XX-supermario haitumii muda mwingi
Lazima uta dream unonoo.

np na jirani yangu wa chumba cha pili tunaangalia movie eti anapenda Indian movies.....
