Mukuje na huku tubadilishane mawazo![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa hio leo hulali?Leo kikao wapi jamani chini ya mbuyu au kwenye ule mwembe mkubwa?![]()
![]()
![]()
Chini ya Mkuyu ulioko kando kidogo ya daraja la Mto Wami pako poa sana.Leo kikao wapi jamani chini ya mbuyu au kwenye ule mwembe mkubwa?![]()
![]()
![]()
Imetengenezwa wapi hii series, mi ni mpenzi wa zile za Kikorea.Nimesali . ....naangalia series . .life in pieces . ..hahaha . ..beautiful indeed
Nasubiri kianzeHaya jamani,mwenyekiti nimefika naomba kujua idadi kwanza tuanze kikao!
mkuu umeshndwaje kumtambua chinchilla coat ni shemeji yako kuanzia sasa sawa mkuu japo amenizidi madarasa
Mambo vipiHaya Kama kawa team popoooooooozzzzzzzzzz mkuje huku