Nimeona uzi huu nikafarijika kupata wenzangu,maana Mm na usingizi everyday tunacheza kombolela ,I dont know why sipati usingizi![]()
![]()
Ulale kesho utakuwa hufanyi kazi; unasinzia tuNgoja leo nimalizie kazi zangu za ofisi hapahapa!
Asante ISIS. It's a wonderful world indeed. Bujiku ng'waka bageshi!...take care! it's a wonderful world!
tumeajiliwa na mbuMi nimelala mnanipigia kelele