Wewe hujalala unafanya nini?
Mie tayari nishasali, nasubir fajri tu hapa
ucjar mama ntakuamshasijalala mpaka saa hizi halafu kesho natakiwa kuamka saa 2!
Asee mi huwa najuaga huyo ni rijali mwenzetu kabsaaucjar mama ntakuamsha
daah kumbe ni ke!mkuu umeshndwaje kumtambua chinchilla coat ni shemeji yako kuanzia sasa sawa mkuu japo amenizidi madarasaAsee mi huwa najuaga huyo ni rijali mwenzetu kabsaa
daah kumbe ni ke!
Faida za kuzamia sherehee za watuNamsikilizia wife anakoroma tu hapa pembeni yangu...mie tangu saa tatu usiku tumbo linanipigisha marktime kadhaa za maliwatoni...mpaka dakika hii nshagonga safari za toileti kama 4 hivi

Mbona upo?mwisho saa 11Asbh...