dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,829
- 20,336
Weeee[emoji16]Sawa mkuu nitasaidiana na Inna wangu
Huyo mwache ukitaka kujua siri ya bashite kuwa na jeur mguse huyo
Weeee[emoji16]Sawa mkuu nitasaidiana na Inna wangu
Shauri yako kama hutaki kuaminiHakuna kitu kama hicho
Siwezi kuaminiShauri yako kama hutaki kuamini
Unajua nini, mimi ni mgogo sasa kuna zilipendwa wangu alikua anapenda sana kuniita hivyo. kwa hiyo nimeona nimuenzi kwa namna hii.Hilo jina linamaanisha nn mpendwa?
Jiji la miambaWapi?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hutunzwa ila kamanda nyie mnalizika sana sokon mnafungua saa2 asubuh
Hahaha..sawa sawaUnajua nini, mimi ni mgogo sasa kuna zilipendwa wangu alikua anapenda sana kuniita hivyo. kwa hiyo nimeona nimuenzi kwa namna hii.
[emoji23] mwenyewe anafanya nyodo huku tu.Weeee[emoji16]
Huyo mwache ukitaka kujua siri ya bashite kuwa na jeur mguse huyo
Karibu ulimwengu wa popozUkiona mtu hujalala mpaka saiv jiulize sana?
Kumbeee wa hukooJiji la miamba
Hatuna wa kuwala so tunajifaliji hapaUkiona mtu hujalala mpaka saiv jiulize sana?
[emoji14] [emoji14]kuna meng wengineUkiona mtu hujalala mpaka saiv jiulize sana?
Mbukwenyii[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jaribu kumuuliza [emoji35][emoji23] mwenyewe anafanya nyodo huku tu.
MbukwaMbukwenyii
wa kuleeeeKumbeee wa hukoo
Haya mambo mwalimu nyerere alipiga marufukuMbukwenyii
NnDuh!
Hahaa tumeachaaHaya mambo mwalimu nyerere alipiga marufuku
Hawezi sema bali ata leta nyodoJaribu kumuuliza [emoji35]