JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wewe kale tungi, mi nakula ugali na mirungi šŸ˜….

Usi sahau sasa
Ugali na mlungi lazima utataka utembee Tu mana macho yatakutoka na jasho jingi.

Hiyo kitu ilinitesa sana mara nimekaa hapa mara nimenzisha stori mara Dogo kalete big G yani ilikuwa balaa.

Alafu nipo na nyagi siskii tungi Wala nini nilivyotema taksima asee nilienda kulala
 
Back
Top Bottom