Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,043
- 11,197
Win hujalala au hujasinzia0100
Win hujalala au hujasinzia0100
Tatizo ushazoe kuwa single wee bintiFor you is ok 👍
But for me I need money ✅️
Ili huyo amani adumu kwangu naitaji💰
Yah but ni vitu vinavyotegemeana bila Amani huwezi tafuta pesa piaPesa itakupa asilimia 99 ya unavyotaka akiwemo huyo amani mnaemsema
Amani itakupa asilimia 1 😁
vyote vyote sijalala wala sijasinzia ndugu yanguWin hujalala au hujasinzia
Jana nimeomba namba pisi Kali ikanipa namba ambayo haipo kabisa.Tafuta wa kukulizia, sio lazima usake hizi ready 5:star.
Saka wa kwako, atakaye kubali hali yako.
Na ili niwe single kwa amani bila kutumbukia kwenye mahusiano ya mchongo lazima niwe na hela😁😁Tatizo ushazoe kuwa single wee binti
Kama sungura vile usingizi wakovyote vyote sijalala wala sijasinzia ndugu yangu
binti haulali unatafuta nini hukuNa ili niwe single kwa amani bila kutumbukia kwenye mahusiano ya mchongo lazima niwe na hela😁😁
Single for life
Stay single enjoy your self 😌
kwanini yaniKama sungura vile usingizi wako
Wacha nikupigie simu saiv tuongee Ile mambo yetu au ushaweka Sawa.Na ili niwe single kwa amani bila kutumbukia kwenye mahusiano ya mchongo lazima niwe na hela😁😁
Single for life
Stay single enjoy your self 😌
Mh watu wa humu kwa kuunga undugu! Au ndio athari za socialismvyote vyote sijalala wala sijasinzia ndugu yangu
Kuna deal mezani, ukiacha uzinzi nishtue tujadiliane.Jana nimeomba namba pisi Kali ikanipa namba ambayo haipo kabisa.
Nikacheka Sana nikasema kibunda kimepona
Acha kuhoji sana kama rafiki yako Yule mwandishi wa habarikwanini yani
ooh samahani kwa kukuita nduguMh watu wa humu kwa kuunga undugu! Au ndio athari za socialism
sawa nimeachaAcha kuhoji sana kama rafiki yako Yule mwandishi wa habari
Yeah wabarikiwe Sana wao ndio nguzo bila wao hatuwezi simamaKwa heshima ya mafaza wote
1 pesaYah but ni vitu vinavyotegemeana bila Amani huwezi tafuta pesa pia
Wewe Tu Mzee wangu deal nikiwa nalo sikumbuki kum@ kakaKuna deal mezani, ukiacha uzinzi nishtue tujadiliane.