win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,165
- 31,261
selfika hakuna mtu binti
selfika hakuna mtu binti
Sema suuuselfika hakuna mtu binti
suuSema suuu
Vipi ndugu wa kambo ungependa nikugaie nilizotafuta jana
Producer wa ile ngoma ni em Mwenyewe, ilikuwa apige yeye na Royce da 59.Ila pia producer WA Ile Ngoma alipiga sana.
Kucha Chuma ya Ye nayo ni balaa saana Mzee wangu
All day
Winifridanani huyo wa kishua
Some time najiuliza wanaume wa JF hua mnafikilia kwa kutumia nini?🤔Vipi ndugu wa kambo ungependa nikugaie nilizotafuta jana
Relax ndugu wa kambo kufikiri kwa jf kunategemea na jukwaa upo chitchat kuwa na amaniSome time najiuliza wanaume wa JF hua mnafikilia kwa kutumia nini?🤔
ahaaa mpe hongera zake huyo winifridaWinifrida
Au sio fresh mwanetu👊Relax ndugu wa kambo kufikiri kwa jf kunategemea na jukwaa upo chitchat kuwa na amani
At least umekuwa na amani sasaAu sio fresh mwanetu👊
Unafanyaje tena😭0149 mtandao unataka uniharibie mkesha wangu dah😭😭
Huyo amani sasa 😁At least umekuwa na amani sasa
Mpaka sasa amani 1 - pesa 0 au ni uongo ndugu wa kamboHuyo amani sasa 😁
Huo ushindi ni sample ya ule wa MoroccoMpaka sasa amani 1 - pesa 0 au ni uongo ndugu wa kambo
Hapanaaa mtanange umechezeka na magoli yamefungwaHuo ushindi ni sample ya ule wa Morocco