Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,047
- 11,211
Amani muhimu ila sio lazima hakuna kitu napenda dunia hii kama mademu money is nothing to me than mishangaziNeno lako sio sheria
Amani ukiwa nae wewe inatosha kakaš
Amani muhimu ila sio lazima hakuna kitu napenda dunia hii kama mademu money is nothing to me than mishangaziNeno lako sio sheria
Amani ukiwa nae wewe inatosha kakaš
Tulia nimekwambia nitakurushia jiniUmenza hadithi sasa mkuuš
Eminem ft Jay Z01:27 renegade
Sawa sawiya kabisa kikubwa pumzi mzee wanguAmani Ni neno lenye herufi tano tu lakini ukilielezea unawaza tengeneza page nyingi
Hahaha, Mimi sipigi hizo mbanga.Ugali na mlungi lazima utataka utembee Tu mana macho yatakutoka na jasho jingi.
Hiyo kitu ilinitesa sana mara nimekaa hapa mara nimenzisha stori mara Dogo kalete big G yani ilikuwa balaa.
Alafu nipo na nyagi siskii tungi Wala nini nilivyotema taksima asee nilienda kulala
Umeona sasa kila mtu na favourite yake wewe ni mademAmani muhimu ila sio lazima hakuna kitu napenda dunia hii kama mademu money is nothing to me than mishangazi
Hov alioshwa kinyamaEminem ft Jay Z
Jay anavyoanza unajua hii Ngoma ni kali
Staree ya kikuda sanaHahaha, Mimi sipigi hizo mbanga.
Anko ali mindevu ana ipiga akiwa ana piga hesabu, au kushusha mzigo.
Mbanga za washua hizoStaree ya kikuda sana
Sijawahi kaa na pesa kwani mademu wengi wanapenda pesa huwa nawapea tu ninachoshukuru michongo huwa haikatiUmeona sasa kila mtu na favourite yake wewe ni madem
Mie nikiwa na hela hata mwanaume mwenyewe ni nothing š
Upo na Mimi kabisa Mzee wangu huwa nabishana na watu hili Jambo.Hov alioshwa kinyama
Washua miyeyusho Tu japo Kweli inakata stimu ya usingiziMbanga za washua hizo
Endelea kuzigawa babašSijawahi kaa na pesa kwani mademu wengi wanapenda pesa huwa nawapea tu ninachoshukuru michongo huwa haikati
Hov aliiiga word flow ya em, bado akala za kichwa kudadadeki!Upo na Mimi kabisa Mzee wangu huwa nabishana na watu hili Jambo.
Hata ukichek YouTube wakiwa wanaimba live pale kama kilinge utaona Tu hadhira wanayo react Kwa Eminem
Oya wakishua0133
Pesa haijawahi tosha ni kweli ila ukweli zaidi kichwa ya chini haijawahi na haitawahi kuridhika ishi humo ndugu wa kamboEndelea kuzigawa babaš
Ila pia producer WA Ile Ngoma alipiga sana.Hov aliiiga word flow ya em, bado akala za kichwa kudadadeki!
š¤Pesa haijawahi tosha ni kweli ila ukweli zaidi kichwa ya chini haijawahi na haitawahi kuridhika ishi humo ndugu wa kambo
nani huyo wa kishuaOya wakishua