multiple
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 650
- 1,312
0033 Roger. Gate no 3 .Stand by0029 cover position chap
0033 Roger. Gate no 3 .Stand by0029 cover position chap
kucheka nini? kwani kitambi ni ukilema? mi mwenyew ninacho kimejaa tele na sijali wala niniNishazoe dada .
Uzuri wahenga walishasema hujafa hujaumbika ,leo cheka sana ila omba yasikukute .
Kitambi kukipata sio kazi ila kukitoa aisee
Mkuu! Nitake radhi!, umekosa vitu vya kunifananisha hadi kunifananisha na BINAMU YAKE LUSIFA?!Mbona unafanana na afande murilo?
0039 Alpha proceed to check the area0033 Roger. Gate no 3 .Stand by
Masiala bwana vitambi tunavyo na tunatamba navyokucheka nini? kwani kitambi ni ukilema? mi mwenyew nimacho kimejaa tele na sijali wala nini
si ndiwoooo kikubwa hakiwashi🤗Masiala bwana vitambi tunavyo na tunatamba navyo
Dah kaka unisamehe ila usije iposti hii picha selfika watu watafungasha virago kabisa ,watajua kaingia mwenye kazi zakeMkuu! Nitake radhi!, umekosa vitu vya kunifananisha hadi kunifananisha na BINAMU YAKE LUSIFA?!
unapenda uchokozi, unataka mwenzio najihisi vibaya sema tu yeye ni mwanaumeDah kaka unisamehe ila usije iposti hii picha selfika watu watafungasha virago kabisa ,watajua kaingia mwenye kazi zake
Hapana sio hivyo embu pitia picha aliyoposti hapo juu alafu uone kama namchokoza huyu ndugu yanguunapenda uchokozi, unataka mwenzio najihisi vibaya sema tu yeye ni mwanaume
nimemuona ila tu sipendi judgeHapana sio hivyo embu pitia picha aliyoposti hapo juu alafu uone kama namchokoza huyu ndugu yangu
Namtania bwana .nimemuona ila tu sipendi judge
hapo kwenye utani ushaumiza nafsi ya mtuNamtania bwana .
Kusogeza muda wa doria
Dah nisamehewe mimi dada 🙌 japo sijaona kosa kumfaninsha na huyo mtu labda kwasababu tuna sababu tofauti kulingana na muhusika ila mengi sivyo yalivyo ndugu ,mitandao inaongea mengi yaliyo tofauti na uhalisiahapo kwenye utani ushaumiza nafsi ya mtu
usijali daktari tuko pamoja 🤝Dah nisamehewe mimi dada 🙌 japo sijaona kosa kumfaninsha na huyo mtu labda kwasababu tuna sababu tofauti kulingana na muhusika ila mengi sivyo yalivyo ndugu ,mitandao inaongea mengi yaliyo tofauti na uhalisia
But I'm sorry nimeelewa