JamiiForums Usiku wa manane
hapo kwenye utani ushaumiza nafsi ya mtu
Dah nisamehewe mimi dada 🙌 japo sijaona kosa kumfaninsha na huyo mtu labda kwasababu tuna sababu tofauti kulingana na muhusika ila mengi sivyo yalivyo ndugu ,mitandao inaongea mengi yaliyo tofauti na uhalisia

But I'm sorry nimeelewa
 
Back
Top Bottom