win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,178
- 31,293
muda wowote maana tunatofautiana usiku kulingana na mahali ulipo0004 kwani walinzi sa ngapi tupo doria
muda wowote maana tunatofautiana usiku kulingana na mahali ulipo0004 kwani walinzi sa ngapi tupo doria
Huo ushamba wako wa kupenda vibabu ndo unakurudisha nyuma. Vikikufia je?usinifariji,, si umetoka kuniita mshamba saivi tu hapa😆😆😆 hebu acha mbwembwe teach me alah🤣
hivi mtu wa miaka 35 mpaka 43 hivi ni kibabu? hebu niache😆 sikukuzuia kuzaliwa mapemaHuo ushamba wako wa kupenda vibabu ndo unakurudisha nyuma. Vikikufia je?
kwanza mimi huwa nabadilika kila uzi, inategemeana na mood niliyo nayo hiyo sikuHuo ushamba wako wa kupenda vibabu ndo unakurudisha nyuma. Vikikufia je?
🤣🤣🤣Hii ndio JF. Ngoja sis wa Kona ya uzwazwani tuendeleemuda wowote maana tunatofautiana usiku kulingana na mahali ulipo
🤣🤣🤣Hii ndio JF. Ngoja sis wa Kona ya uzwazwani tuendeleemuda wowote maana tunatofautiana usiku kulingana na mahali ulipo
kwa kweli🤣🤣🤣Hii ndio JF. Ngoja sis wa Kona ya uzwazwani tuendelee
Unapenda kuchezea vile vitambi vyao siohivi mtu wa miaka 35 mpaka 43 hivi ni kibabu? hebu niache😆 sikukuzuia kuzaliwa mapema
hapana sipendi wenye vitambi,, asilimia kubwa wana ka uchafu japo sio woteUnapenda kuchezea vile vitambi vyao sio
Unapenda nini? Sasampa?hapana sipendi wenye vitambi,, asilimia kubwa wana ka uchafu japo sio wote
mi mwenyew sijui napenda nini we ishi na mimi kulingana na mood niliyo nayo hiyo sikuUnapenda nini? Sasampa?
0029 cover position chap0004 kwani walinzi sa ngapi tupo doria
Mbona unafanana na afande Muliro ?
Dongo la kulalia hili .hapana sipendi wenye vitambi,, asilimia kubwa wana ka uchafu japo sio wote
mi sijamtaja mtu soreeeeeeDongo la kulalia hili .
Nishazoe dada .mi sijamtaja mtu soreeeeee