Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
00:21 intelli fvckin world
Jana sikuwa na wese mwanang niwezeshe basi🥺
mbona mapema kulia kuhusu usingizi12:10 AM usingizi haupatikani.
mahangaiko yanataka tuamke saa 12, utu uzima kazimbona mapema kulia kuhusu usingizi
sa 12 mbona kumepambazuka kabisa,, wengine ni usiku kwa usiku hata muda wa kulala hatunamahangaiko yanataka tuamke saa 12, utu uzima kazi
Lala ukue🎶🎶🎶 El sha dai uko na kile mi nadai ulinipenda hata kama mi sifai🎶