win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,157
- 31,226
mmesubiri niingie bafuni ndo muanze kutuma sms uchoyo tu mxiuuuuuš
mmesubiri niingie bafuni ndo muanze kutuma sms uchoyo tu mxiuuuuuš
Good luck, deal zijipe vyema.Dah,
Thanks for theupdate. Nitafuatilia. Nasoma kitabu cha Dr. mmoja hapa kuna interview napanga kumfanyia kuhusu kazi zake.
Pole nyonyošš½mmesubiri niingie bafuni ndo muanze kutuma sms uchoyo tu mxiuuuuuš
kwahiyo mlirudi saa 10 asubuhi? alf ile saa 3 mnaniambia nimechelewa,, amakweli nyie vijana ni wabaya04:41
Nilale sasaš„±
Tulirudi kutoka kwenye maombi mama relaxš„“kwahiyo mlirudi saa 10 asubuhi? alf ile saa 3 mnaniambia nimechelewa,, amakweli nyie vijana ni wabaya
hata kama hamkupaswa kufanya vileTulirudi kutoka kwenye maombi mama relaxš„“
kwanza leo ni women day sema jambo udugu
nitumie location pihemu ipo waziš¤
Location si hiyo hapo juu clickš¤nitumie location pihemu ipo waziš¤