win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,164
- 31,245
hiyo location ina nyama na pombe za bure?🤣🤣🤣Location si hiyo hapo juu click🤗
hiyo location ina nyama na pombe za bure?🤣🤣🤣Location si hiyo hapo juu click🤗
Kila kitu mpaka 🍆 za bure🤸🏽♀️hiyo location ina nyama na pombe za bure?🤣🤣🤣
mayiiiiii daktari kanambia siruhusiwi kutumia bilinganya kwa saivi🤭😁😁Kila kitu mpaka 🍆 za bure🤸🏽♀️
Nipe dakika ishirini nitakuwa hapoNiko tayari baba🤗😁
Karibu tule daku kaka03:06
Shukrani kaka, hata njaa ninayo sasa!.Karibu tule daku kaka
Kaka maisha yenyewe ni haya haya ,embu lala upumzike kaka wenzio tunaogopa kuyawaza maana yanaogopesha sanaShukrani kaka, hata njaa ninayo sasa!.
natafakari maisha tu, hesabu yangu mpaka kizaz kijacho.
Yana tisha muda mwingine, ila hatuna budi kuyakabili kaka.Kaka maisha yenyewe ni haya haya ,embu lala upumzike kaka wenzio tunaogopa kuyawaza maana yanaogopesha sana