Sasa ni saa 4.55 nipo macho nasikiliza bbc idhaa ya kiingereza kwa kuoitia programu tumizi ya garden radio.
Huku nawaza maisha kwenye kipindi hiki nipo kwenye maisha ya kustaafu,na najiandaa kwa kwenda kwenye kimgahawa changu kuuza supu,chapati,chai,kahawa,ugali na mboga mbalimbali.Pia najiandaa kufanya kazi ya usafi chumbani kwangu kwani kama mmewahi kusoma nyuzi zangu za nyuma,mimi usafi ni passion yangu na simwachii mtu yoyote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.