MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 8,252
- 22,031
Karibu tule daku kaka03:06
Karibu tule daku kaka03:06
Shukrani kaka, hata njaa ninayo sasa!.Karibu tule daku kaka
Kaka maisha yenyewe ni haya haya ,embu lala upumzike kaka wenzio tunaogopa kuyawaza maana yanaogopesha sanaShukrani kaka, hata njaa ninayo sasa!.
natafakari maisha tu, hesabu yangu mpaka kizaz kijacho.
Yana tisha muda mwingine, ila hatuna budi kuyakabili kaka.Kaka maisha yenyewe ni haya haya ,embu lala upumzike kaka wenzio tunaogopa kuyawaza maana yanaogopesha sana
00400029 jamping jamping with no position
00430040
Take cover🤣
00450043
Dash-Down-take cover-observe-Fireeee