Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,384
- 85,623
Haya kwenye mavuno usisite kuniita nitakuja diapers😁ndo maan nasema umejiwahi😅😅😅 mi huko kwenye vumbi sipataki bora niendelee na kilimo cha umwagiliaji tu mahi wangu 💃🤗
Haya kwenye mavuno usisite kuniita nitakuja diapers😁ndo maan nasema umejiwahi😅😅😅 mi huko kwenye vumbi sipataki bora niendelee na kilimo cha umwagiliaji tu mahi wangu 💃🤗
usijareeee mi na wew teina,,, we uza mkaa na mimi nilime alf mwisho wa mwaka tufanye gift exchange🤗🤗Haya kwenye mavuno usisite kuniita nitakuja diapers😁
Utanipa miti uliyolima niichome mkaa😁usijareeee mi na wew teina,,, we uza mkaa na mimi nilime alf mwisho wa mwaka tufanye gift exchange🤗🤗
labda miti ya mchicha na bamia 🤣🤣🤣Utanipa miti uliyolima niichome mkaa😁
Na bilinganya 🍆 🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️labda miti ya mchicha na bamia 🤣🤣🤣
nyau wew😅😅😅😅 kuna rafiki angu aliwahi kunipikia akachanganya na nyanychungu akatia vikolombwezo kama vyote alaf akanidanganya ni maini😭😭😭 kila nikila na ubwabwa sihisi radha ya maini, yeye anasema we endelea kula tu mpka utakapo pata radha ya maini,,, yaaani nilimaliza ubwabwa wote bila kuonja maini😪, sasa nikionaga biliganya tu lazima hiyo story ijirudishe kichwani kwangu🤭😁🤦♀️Umekumbuka babe wako mwenye mzigo🤪
Basi minnayapenda balaa yanaleta usingizi😅 huku nilipo tu sijakutana nayo ila nayaoenda sana, nyumbani kwnagu yalikuwa hayakosekani nanunua mafungu huko sokoni nayapika style zote 😋nyau wew😅😅😅😅 kuna rafiki angu aliwahi kunipikia akachanganya na nyanychungu akatia vikolombwezo kama vyote alaf akanidanganya ni maini😭😭😭 kila nikila na ubwabwa sihisi radha ya maini, yeye anasema we endelea kula tu mpka utakapo pata radha ya maini,,, yaaani nilimaliza ubwabwa wote bila kuonja maini😪, sasa nikionaga biliganya tu lazima hiyo story ijirudishe kichwani kwangu🤭😁🤦♀️
Hapana bwana ila sijazoea kuyatumia pekeake kama mboga, nyumban kwetu tulipenda kuchanganya na dagaa kwahiyo yale mazoea ya nyumbani yakawa yameniathiri na nilishawahi kumuelezea ila akanambia ipo siku nitakukomesha😪 na kweli bwana alifanikiwa🤣🤣🤣🤣🤣Basi minnayapenda balaa yanaleta usingizi😅 huku nilipo tu sijakutana nayo ila nayaoenda sana, nyumbani kwnagu yalikuwa hayakosekani nanunua mafungu huko sokoni nayapika style zote 😋
Wewe ulikuwa mvivu au mchaguzi kula na ndiomaana rafiki yako akakukomesha kwa style hiyo ili uweze kula umalize ubwabwa😂
Kuna yale unachanganya na mboga nyingine kama wewe unavyosema hapo, na kuna ile unayakatakata vipande slim kama mboga mboga unayaunga na karanga😋 yanakuwa mazuri tu! Na kuna kuyapika yenyewe tu, na kuna kutengeneza pilipili yake uweeh🤤Hapana bwana ila sijazoea kuyatumia pekeake kama mboga, nyumban kwetu tulipenda kuchanganya na dagaa kwahiyo yale mazoea ya nyumbani yakawa yameniathiri na nilishawahi kumuelezea ila akanambia ipo siku nitakukomesha😪 na kweli bwana alifanikiwa🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo kupika kila style ndo ipoje binti😄 naomba nifundishe tafwazali🙃🙃
maneno tu yamenitoa udenda🤣🤣🤣 sas nikionja chakula sindo nitazimia yawa,, inabidi nikufuate unifundishe haiwezekani ujue vitu vizuri pekeako😋Kuna yale unachanganya na mboga nyingine kama wewe unavyosema hapo, na kuna ile unayakatakata vipande slim kama mboga mboga unayaunga na karanga😋 yanakuwa mazuri tu! Na kuna kuyapika yenyewe tu, na kuna kutengeneza pilipili yake uweeh🤤
Huhuhu njoo weekend tukazoe furushi la bilinganya pale home market tuakapike aina tano za mapishi yake tulee tulewee 🍆🍆 🍆maneno tu yamenitoa udenda🤣🤣🤣 sas nikionja chakula sindo nitazimia yawa,, inabidi nikufuate unifundishe haiwezekani ujue vitu vizuri pekeako😋
say no moaa my gal💃💃💃Huhuhu njoo weekend tukazoe furushi la bilinganya pale home market tuakapike aina tano za mapishi yake tulee tulewee 🍆🍆 🍆
Here we go chomie 😍💅say no moaa my gal💃💃💃