JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

wakati 20% anaimba "Ona maisha ya bongo yanavyo tisha afadhari ya jana,, hakuna hata mda wa kupumzika ni kama vikatuni mbele ya walio ridhika"

sikujua kama nitakua miongoni kwa kijana wa bongo alie choka na kuchakaa,, this life woiii.🙌🙌

0225
 
salam zangu za pili zimfikie mwanadada Seran popote pale alipo

Ujumbe: namwambia siku yoyote akikoswa usingizi aje kwenye uzi wa usiku wa manane kutype chochote anacho jiskia
 
salam zangu za nne ziende kwa @wanadada woote wa jf

ujumbe,, wasikubali kuyumbishwa na maneno ya watu wenyewe ni shingo hivyo basi wanao uwezo wa kugeuza kichwa namna wanavyotaka
 
salam zangu za 5 na za mwisho kwa siku ya leo najitumia mimi mwenyewe

ujumbe: usijaribu kukata tamaa no matter what, kukosea kupo ila ni hatua ya ukuaji na ukomavu,, umezaliwa kuwa mshindi usikubali kufifishwa kinyonge
 
🎶 ewe baba amka kumekucha kwani hizi ndizo saa za kwenda shambaa,,

hata wew mwalim amka kumekucha kwani hizi ndizo saa za kuandaa mada ya kufundisha

hata wew mwanafunzi amka kumekucha kwani hizi ndizo saa za kujisomea🎶🎶🎶🎶💃
 
sitosahau nilipokua mdogo nilikua namsikiliza dj arungu anauliza watu maswali redioni na wakikosea anawachapa viboko, basi nilivyo mpuuzi nikawa nahisi vile viboko vinawafikia kweli😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom