Tusiingie job kwa amani😁😂😂 daaa
Huyo ndo Grim Reaper nn ? 😂Tusiingie job kwa amani😁
The wizard of Oz 😂Huyo ndo Grim Reaper nn ? 😂
Mi natoa wapi na ninashinda humu sina kazi😂💔nikopeshe 10M kwanza,, kichwa changu kinawaka moto😪🤣 labda kitapoa
nitajuaje kama we ni boss umeajiri watu wanakufanyia kila kitu mahi😝😅Mi natoa wapi na ninashinda humu sina kazi😂💔
Woii usichekeshe watu😂😂nitajuaje kama we ni boss umeajiri watu wanakufanyia kila kitu mahi😝😅
yoooh basi naomba uliyo nayo au unipe connection ya kupata hicho kitita ndani ya huu mwaka,,, nipo serious ujueWoii usichekeshe watu😂😂
Muombe babe wako winnie acha kunidangia dadaako😂🏃🏽♀️🏃🏽♀️yoooh basi naomba uliyo nayo au unipe connection ya kupata hicho kitita ndani ya huu mwaka,,, nipo serious ujue
Muombe babe wako winnie acha kunidangia dadaako😂🏃🏽♀️🏃🏽♀️
tushakubaliana dada ni second mom, sa kwanini hautaki kuni support 😪😪
ndio kwani hauoni mahudhurio yako ni hafifu😅Wee,sema kweli?😂😂😂😂🙌🏾
Naona naona….uko poa lakini?ndio kwani hauoni mahudhurio yako ni hafifu😅
niko poa sijui wew da kidoti🤗Naona naona….uko poa lakini?
Nipo njema sana aisee,asante kwa upendoniko poa sijui wew da kidoti🤗